Makapuku Forum

Makapuku Forum

1990 - Violeta Chamorro anakuwa Rais wa kwanza mwanamke katika nchi ya Nicaragua.
57af52e9c81b40e4e9aa6cf1feea7ca0.jpg
9fd92a93dad3d5e694b71f60589710ec.jpg
Mama Samia labda apate ngekewa km ya George Washington(Sizonje afie madarakani)
.....
 
1947 - Johan Cruyff anazaliwa.

Staa wa zamani wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi.

Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea Duniani.

Ndio muasisi wa chuo maarufu cha soka cha Barcelona, La Masia.
c7c4a5fadd833930f85e21a874780649.jpg
1046b09f0c31cdda5722a5f0e72a55b8.jpg
Alikuja Bongo miaka michache kabla ya kifo chake

Barca si waluahidi kuupa uwanja sijui jina lake
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom