Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,538
morning vp kwema ??Morn kapukuz
morning vp kwema ??Morn kapukuz
Shululu shukran kwa magazetiii
ShukranMagazeti haya yamewajiwa kwa udhamini mnono wa Kante kupitia Lee ambaye leo anadharula
Tukutane kesho, jumanne njema makapuku wote
Shululu shukran kwa magazetiii
Hivi haiwezekani napo kukawa na uchambuzi wa kina wahabari nyetii?zilizotawala kwenye vichwa vya habar vya magazeti mengi?
Point!Shululu shukran kwa magazetiii
Hivi haiwezekani napo kukawa na uchambuzi wa kina wahabari nyetii?zilizotawala kwenye vichwa vya habar vya magazeti mengi?
Karibu sanaAsante mama mtumishi
Ameni mchungajiTUCHUKULIANE
WAGALATIA 6
1 Ndugu zangu mtu akighafilika katika kosa lolote ,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole ,ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe
2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo
3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu ,naye si kitu ,ajidanganya nafsi yake
4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe ,ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu,wala si kwa wenzake
5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe
WAPENDWA
Tupendane
Tuonyane
Tatizo la mwenzetu liwe letu siku zote
Tupige magoti tuombe kwa ajili ya wengine
Tuufurahie uumbaji na vyote vilivyomo
HUO NDIO UPENDO WA KWELI
MUNGU ATUSAIDIE KUCHUKULIANA MIZIGO KWA UPENDO
Asante Baba kwa kutuamsha sala ma tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na vitendo tusaidie tushike mwenendo mpya
Tubariki siku ya leo tukatende ya kukupendeza
Bariki kazi za mikono yetu,safari,familia,kazi,mashamba ,masomo na yote tutakayoshiriki leo
Tujenge tupende kusikiliza neno lako na kuliishi
Tusaidie tupende kusikiliza na kujifunza toka kwa wenzetu tusiwe makwazo kwa wengine
Asante Mungu kwakuwa utatenda sawa na mpenzi yako Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
Kipeperushi cha CCM
Huyo mwanga kanjanja
MorningMorn kapukuz
Pamoja Nyoka mzeeShululu shukran kwa magazetiii
Hivi haiwezekani napo kukawa na uchambuzi wa kina wahabari nyetii?zilizotawala kwenye vichwa vya habar vya magazeti mengi?
AmenTUCHUKULIANE
WAGALATIA 6
1 Ndugu zangu mtu akighafilika katika kosa lolote ,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole ,ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe
2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo
3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu ,naye si kitu ,ajidanganya nafsi yake
4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe ,ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu,wala si kwa wenzake
5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe
WAPENDWA
Tupendane
Tuonyane
Tatizo la mwenzetu liwe letu siku zote
Tupige magoti tuombe kwa ajili ya wengine
Tuufurahie uumbaji na vyote vilivyomo
HUO NDIO UPENDO WA KWELI
MUNGU ATUSAIDIE KUCHUKULIANA MIZIGO KWA UPENDO
Asante Baba kwa kutuamsha sala ma tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na vitendo tusaidie tushike mwenendo mpya
Tubariki siku ya leo tukatende ya kukupendeza
Bariki kazi za mikono yetu,safari,familia,kazi,mashamba ,masomo na yote tutakayoshiriki leo
Tujenge tupende kusikiliza neno lako na kuliishi
Tusaidie tupende kusikiliza na kujifunza toka kwa wenzetu tusiwe makwazo kwa wengine
Asante Mungu kwakuwa utatenda sawa na mpenzi yako Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
Morning to you tooMorning
Kumbe leo ni siku yako ya kuangushwa kwa utawala wakoLeo Katika Historia:
1945 - Ni siku ya ukombozi ndani ya Italy ( Liberation day ) ambapo waitaliano wanaadhimisha siku ya kudondoka kwa utawala wa Kifashisti na kukamatwa kwa Dikteta wa Nchi hiyo Benitto Mussolini.