Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Alikuja kunyongwa siku 3 baadaeMussolini akiwa na swahiba wake Hitler![]()
![]()
![]()
Baada ya kumkamata walimpa adhabu gani?
...
Alikuja kunyongwa siku 3 baadaeMussolini akiwa na swahiba wake Hitler![]()
![]()
![]()
Baada ya kumkamata walimpa adhabu gani?
...
Pamoja sanaAsante kwa magazeti
Lee???.....

Asante sana. Napenda kuwapo siku mojaKaribu sana
Morning mukongoGoodmorning family.....hope all are doing fine, to those who are not fine God will do miracle to them.....have a nice day
Alienda Real SociedadBaada ya United alienda Spain
Okay...Same to youGoodmorning family.....hope all are doing fine, to those who are not fine God will do miracle to them.....have a nice day
Mambo poa, za kuadimikaPoa shululu. Mambio vp
Pamoja sana mkuuAsante kwa leo katika historia mkuu musollin
Nshapoa mkuuPole sana mkuu Mussolin5 kwa kuangushwa
Pamoja mzee wa fungateShukrani kwa magazeti
Good morning to youGood morning brothers and sisters, friends and my beloved one.
Morning fakalavaGood morning brothers and sisters, friends and my beloved one.
Leo Katika Historia:
1945 - Ni siku ya ukombozi ndani ya Italy ( Liberation day ) ambapo waitaliano wanaadhimisha siku ya kudondoka kwa utawala wa Kifashisti na kukamatwa kwa Dikteta wa Nchi hiyo Benitto Mussolini.
.....hivi Mussolin5 kwanini uliamua kutumia hii ID?Ana watoto ambao wanatosha kuwa na wilaya yao tu![]()
![]()
Huyo ilikuwa ndo mambo zake si unajua akili za Kiafrika hasa mababu zetu
Mfano mimi babu yangu alikuwa na wake wanne na hata nikienda kijijini napishana na ndugu zangu bila kujua maana wapo wengi balaa
Sasa fikiria huyo ambaye ni Mfalme alikuwa anamilki wangapi
.........
Merci PapaGoodmorning family.....hope all are doing fine, to those who are not fine God will do miracle to them.....have a nice day
Ila kwa sasa Mkubwa FELLA ameiva sana katika mechi ambazo ni za kimbinu zaidi.
Ndo aliyemtengeneza Big Fella wakiwa Everton na kuhama naye kumleta Man Utd LVG akashindwa jinsi kumtumia na kutoka kumuuza![]()
Ila sasa kawa kipenzi cha Mourinho hata avurunde kucheza ni lazima yaani km Bashite na Mkulu
......
Bado siku mbili tukunyongeNshapoa mkuu