Makapuku Forum

Makapuku Forum

1963 - David Moyes anazaliwa.

Kocha wa sasa wa Sunderland ambaye pia amewahi kufundisha katika vilabu vya Everton na Man Utd.
cae784b1f97a7004fc597f20a55a2e60.jpg
c9aa709cf7fa8ead5b6e796e544a1907.jpg
Ndo aliyemtengeneza Big Fella wakiwa Everton na kuhama naye kumleta Man Utd LVG akashindwa jinsi kumtumia na kutoka kumuuza
Ila sasa kawa kipenzi cha Mourinho hata avurunde kucheza ni lazima yaani km Bashite na Mkulu
......
 
Hivi hata babaye nae alikuwa ni mtu wa totoz?
706e3340798a1d22022b7458d4462719.jpg
5a0592186cf2c2f52680b14b2ee12027.jpg

Huyo ilikuwa ndo mambo zake si unajua akili za Kiafrika hasa mababu zetu
Mfano mimi babu yangu alikuwa na wake wanne na hata nikienda kijijini napishana na ndugu zangu bila kujua maana wapo wengi balaa
Sasa fikiria huyo ambaye ni Mfalme alikuwa anamilki wangapi
.........
 
TUCHUKULIANE

WAGALATIA 6

1 Ndugu zangu mtu akighafilika katika kosa lolote ,ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole ,ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe

2 Mchukuliane mizigo na kuitimiza hivyo sheria ya Kristo

3 Maana mtu akijiona kuwa ni kitu ,naye si kitu ,ajidanganya nafsi yake

4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe ,ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu,wala si kwa wenzake

5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe

WAPENDWA

Tupendane
Tuonyane
Tatizo la mwenzetu liwe letu siku zote
Tupige magoti tuombe kwa ajili ya wengine
Tuufurahie uumbaji na vyote vilivyomo

HUO NDIO UPENDO WA KWELI

MUNGU ATUSAIDIE KUCHUKULIANA MIZIGO KWA UPENDO

Asante Baba kwa kutuamsha sala ma tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na vitendo tusaidie tushike mwenendo mpya

Tubariki siku ya leo tukatende ya kukupendeza

Bariki kazi za mikono yetu,safari,familia,kazi,mashamba ,masomo na yote tutakayoshiriki leo

Tujenge tupende kusikiliza neno lako na kuliishi

Tusaidie tupende kusikiliza na kujifunza toka kwa wenzetu tusiwe makwazo kwa wengine

Asante Mungu kwakuwa utatenda sawa na mpenzi yako Amen

NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE SANA
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom