Makapuku Forum

Makapuku Forum

inasemekana huu utakua ndio uzi mpya wa ugenini kwa msimu ujao 2017/18.
4b8866a5d03f1e9347bc7d5b2887a228.jpg
 
1947 - Johan Cruyff anazaliwa.

Staa wa zamani wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi.

Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea Duniani.

Ndio muasisi wa chuo maarufu cha soka cha Barcelona, La Masia.
mkuu nimeona breaking news, uwanja wa ajax fc officially wameubadilisha jina toka Amsterdam arena saiz utaitwa Johan cruyff arena
fce250d206681d0187f9711323e7df66.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom