Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Hapana chezea asali!!!.....ni kijiko kimoja cha asali ni kazi ya maisha kwa watenda kazi 12 tena wasiotega kama binadamu!!!![]()
Fuata nyuki...
...
Hapana chezea asali!!!.....ni kijiko kimoja cha asali ni kazi ya maisha kwa watenda kazi 12 tena wasiotega kama binadamu!!!![]()
Fuata nyuki...
...
Nani huyo?R.I.P
Watag km unawajua![]()
......
Whaaat!!!.....How???WanajijuaWatag km unawajua![]()
......
Shwari Mkuu, ni mwendo wa makamuzi.Yanakwenda vyema aisee
Vipi kwa upande wako mkuu
Endelea kukamua tuShwari Mkuu, ni mwendo wa makamuzi.
Siku najiandikisha hapa JF kila jina ninalolitaka kutumia naambiwa tyr linatumika, hivyo nikaamua kuchagua jina la kibabe nikakuta lipo available nikaanza kutumia.Huo mkasa ndio "TINAUTAMANI" uulezee N'goshi![]()
Pia ndio bara lenye utajiri mkubwa wa maliasili ila watu wake wengi ni mazuzu hivyo Wageni wanakuja kujichotea na kuondoka huku wazawa wakiwa hohehahe.Bara la Afrika![]()
Ni bara la pili kwa ukubwa lina maili za mraba 11.7 Milioni
Lina nchi zaidi ya 50...ndo bara la pili lenye watu wengi takribani zaidi ya bilioni 1
Ndio bara lenye joto zaidi duniani
Bara lenye watu mbumbumbu kuliko yote{kwa Tz ChifuMangungo ndo supastaa)
.......
Thanks Mukulu.Siku najiandikisha hapa JF kila jina ninalolitaka kutumia naambiwa tyr linatumika, hivyo nikaamua kuchagua jina la kibabe nikakuta lipo available nikaanza kutumia.
Lakini halikuwa kipaumbele changu kabisa. Sasa baada ya kula " Life Ban " ndio nikaja na Mussolin5 baada ya Mussolini kufutwa mazima.
kumbe we MTATA eeeh!!!.....life ban!!!

Hapa kazi tuSawa PIGA KAZI TU
Upige nao picha kwanzaMkisikia niko Mahaba beach huko ununio mjue ni kwa ajili ya hii Nukuu..
Waumini elf70 wakitoa sadaka sh 1000 tu, atakuwa na sh ngapi kwa jumapili moja?Sio mchezo
AsanteWakuu leo sitakuwa na Top ten Bali nitawaletea mambo mbalimbali ya kuvutia kuhusu zen nitapotea
Karibuni
...........
Tanzania, Congo (DRC) na Angola, utajili uliopo kwenye hizi nchi ni sawasawa na Bara zima la UlayaBara la Afrika![]()
Ni bara la pili kwa ukubwa lina maili za mraba 11.7 Milioni
Lina nchi zaidi ya 50...ndo bara la pili lenye watu wengi takribani zaidi ya bilioni 1
Ndio bara lenye joto zaidi duniani
Bara lenye watu mbumbumbu kuliko yote{kwa Tz ChifuMangungo ndo supastaa)
.......