mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Leo Katika Historia:
1912 - Meli ya RMS Titanic yajiandaa kuanza safari yake ya kwanza na ya pekee kutoka katika bandari ya Southampton kwenda Marekani.
Mkuu ni mboga mboga za majaniNiwekee picha ya hiyo boga , kwa kiswahili yaitwaje?![]()

Mkuu ubalikiwe umetafakari na umefunguka vyema!!Wanajaribu kuzuia mlio wa bunduki kwa kutumia puto yaani wanajaribu kuficha uovu kwa njia ambazo ni rahisi kuugundua uovu wao
Kuna tafsiri zaidi ya 100
.....
1916 - Chama cha Golf nchini Marekani chaanzishwa.
Kinajulikana kama Professional Golfer's Association of America ( PGA ).
Amina Shemu.... Hakika mtu akikaa na nyinyi hawezi kupungukiwaEndelea kumtumainia yeye siku zote, hakika baraka zake utaziona!!!
Ni mboga za majani ya maharage wakuuHakutaja ni majani ya mboga gani
Labda ni kunde au maharage
Vyema umbane yeye mwenyewe
Cc mkubhi

1944 - Rudolf Vrba na Alfred Wetzler eanafanikiwa kutoroka katika Gereza la Kifo la " Birkenau Death Camp " lililo chini ya utawala wa NAZI.
Baada ya kutoroka kwao, walikuja kutoa ripoti kuhusu mateso na mauaji yanayofanyika katika gereza hilo.
Kaka huwezi jua Dunia uwanja wa vurugu![]()
![]()
![]()
Kumbe itakuwa yupo mawindoni kama zilivyo shughuli zake za uwindaji

Unajidai Faiza Foxy eeh???
Mimi FAIZA mbona mwalimu humu jamvini!?!?1957 - Mfereji wa Suez wafunguliwa na kuruhusu meli zote kupita baada ya kufungwa kwa miezi mitatu.
Mkuu aksante kwa kumanisha vema.....Mkuu
Hizi nukuu mimi siweki tuu kwa kuwa nilisema nitaweka nukuu..
Nataka hizi nukuu zibadilishe maisha ya members humu..
Yaani, kila siku ujifunze kupitia hizi nukuu..
Ni muhimu sana kama unaweza kuzifanyia kazi at leat kwa 51% if not 100%
Nawapenda makapuku..
Kwa hali jinsi ilivyo mwaka anamalizia ligi akiwa nafasi ya 6Bora aseno asiingie top four amezoea!!!