Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,007
- 150,542
Chelsea fans here
Lee Empire & mkubhi
Man United fans here
Nyagei & Shunie
Wengine tuta-update tukijua position zenu.
Shunie enzi za chircharito
Chelsea fans here
Lee Empire & mkubhi
Man United fans here
Nyagei & Shunie
Wengine tuta-update tukijua position zenu.
Mie hata usiniwazie kabisaaChelsea fans here
Lee Empire & mkubhi
Man United fans here
Nyagei & Shunie
Wengine tuta-update tukijua position zenu.
Alishatangazwa mtakatifu toka Sept. 5 2016 kwenye feast day yake na kumbukumbu ya kifo chake..Ndio maana kuna mchakato wa kumtangaza mtakatifu
BameelewaBaelezee
Shuleni nilikiwa naitwa chicharito!Chelsea fans here
Lee Empire & mkubhi
Man United fans here
Nyagei & Shunie
Wengine tuta-update tukijua position zenu.
Sina maana kukubembeleza wewe [emoji23]Umeanza vizuri ila ulivyo malizia tuuu...
Mie nnae wa kunibembeleza ila sasa huwa ndo machozi yanazidi, sometimes huwa nahisi ni ugonjwa!!!!
Kama Mbowe[emoji3]Unataka wabadili gia angani?
Hizo ndio game zake[emoji23]
Points 21 ni Nyingi Ngoja tuoneKwao saba mkuu wengine hope 8
HahahaSina maana hiyo [emoji23]
[emoji4]Hahaha
Hata mie sina maana hiyo
mtutu na puto wapi na wapi!?!?...![]()
Aliyeelewa afunguke
.....
Lakini siku bado haijaishaWakuu J3 si ishaingia...mbona ROMA hafunguki tu au bado wapo stationery wanaprint makaratasi
......