mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Mkuu ndo ile ile iyo zama!?Leo Katika Historia:
1912 - Meli ya RMS Titanic yajiandaa kuanza safari yake ya kwanza na ya pekee kutoka katika bandari ya Southampton kwenda Marekani.
Mkuu ndo ile ile iyo zama!?Leo Katika Historia:
1912 - Meli ya RMS Titanic yajiandaa kuanza safari yake ya kwanza na ya pekee kutoka katika bandari ya Southampton kwenda Marekani.
1973 - Robert Carlos anazaliwa.
Beki wa zamani wa kushoto wa Inter Milan, Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.
Anatajwa kama beki bora wa kushoto kuwahi kutokea katika historia ya mpira wa miguu.
Alijulikana kama " The bullet man " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupiga mashuti.
Anakumbukwa kwa freekick yake dhidi ya Ufaransa mwaka 1997 ambapo wengi walidhani mpira aliopiga unatoka nje lakini ghafla ulirudi ndani na kujaa wavuni.
Ametwaa Kombe la Dunia mwaka 2002 pamoja na Uefa Champions League akiwa na Real Madrid mwaka 2001.
Ok, nimekusoma mkuu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu rekebisha kidogo ni Roberto
Moja kati ya freekick ya ukweli , jamaa alijaaliwa nguvu za miguu
.....
Time will tellHata sioni kama kuna chochote
Lkn siku imeishafikaLakini siku bado haijaisha
Amen sir thanks for Blessings am humbledGoodmorning my dear...Amen.....be blessed too n have a wonderful week

Yes,small mouth big ears

Ngoja tusubirie...Time will tell
Lkn siku imeishafika
.....
I LOVE THIS

SanaMkuu balozi
Nilivomsoma kirat ni kwamba inatumika nguvu kubwa zaidi kudili na vitu vidogo ...In summary lakin
1985 - Barkhad Abdi anazaliwa.
Staa wa filamu kutoka Somalia.
Aling'aa kwenye filamu ya Captain Phillips.
Alitupiga changa la macho, hata akiongea hawezi sema la maana!!!Wakuu J3 si ishaingia...mbona ROMA hafunguki tu au bado wapo stationery wanaprint makaratasi
......
Daaaah![]()
![]()
Ailikwa anasumbuliwa na ugonjwa wa mifupa marakwa mara 7bu ya urefu wake![]()
Hashimu andunje tu
....
.
Asante mkuu kwa historical information!!Leo katka Historia:
Jumatatu njema kwenu.
Asante piaAsante mkuu kwa historical information!!
1986 - Vincent Kompany anazaliwa.
Beki wa kati wa Man City na timu ya taifa ya Belgium.

Amen asante sana kwa historia mkuu,ubarikiweLeo katka Historia:
Jumatatu njema kwenu.
wiki njemaTatizo hilo la mifupa sababu ya urefu kupitiliza pia liliwahi kumkumba Yao Ming kwa miaka ya karibuni hadi kufikia Mchina huyo kustaafu mchezo huo.
Yes,nothing will separate you.