Makapuku Forum

Makapuku Forum

1fb8e5afb9311bf88b9034898bb6fe64.jpg
Hiki kipengele cha proverb mkuu kivalie njuga
 
Ni kweli mzee Wenger anaweza kukumbana na ya mzee wa blues ila kumbuka Chelsea biashara walishafanya mpaka kwenye alama 72 sasa kilichobaki na wanachokifanya kwa sasa ni mahesabu tu..... Walianza na hesabu ya alama +18 na sasa wanaendelea kuhesabu +15 zilizobaki.

Biashara ni hasubuhi na jioni ni mahesabu tu....

Sio mbaya tukamuacha Chelsea auwaze ubingwa uku wengine tukigombea top 4
Chelsea ni njia nyeupe tu hatuna namna awe bingwa tu, Tottenham nae top four inamuhusu moja kwa moja hata man city kazi ipo namba nne zaidi Arsenal, Liverpool and Man United hapo ndio patamu
United ana mechi dhidi ya Chelsea, Arsenal, City na Tottenham moja nyumbani Tatu ugenini ni ngumu sana mechi mbili Etihad na kwa Tottenham

Arsenal ana United, na Tottenham kwake zote ni ngumu
Liverpool alishamaliza wakubwa ila ugonjwa wake wa timu ndogo bado upo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom