mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Maana yake si ndo hiyo....au wewe ulitaka maana ipiHamna, ni jina zuri nilihisi lina maana

Maana yake si ndo hiyo....au wewe ulitaka maana ipiHamna, ni jina zuri nilihisi lina maana

1970 - Paul McCartney anatangaza kujiondoa kwenye kundi la The Beatles ikiwa ni sababu binafsi ndio zimemfanya zimuweke kando.
Where to get it Mkuu!?Mno
Ipo poetry nyingine tena
Stop spending time with the wrong people
Life is too short.....
1996 - Manute Bol anacheza mechi yake ya mwisho katika ligi ya kikapu ya NBA.
Mmoja kati ya wachezaji warefu kuwahi kutokea katika historia ya ligi hiyo.
Alikuwa ni raia wa Sudan, alifariki mwaka 2010.
Hata sioni kama kuna chochoteWakuu J3 si ishaingia...mbona ROMA hafunguki tu au bado wapo stationery wanaprint makaratasi
......
Kiushabikiii niko chelsea mkuu shunie shahidiiii
1952 - Steven Seagal anazaliwa.
Staa wa filamu kutoka Hollywood.
Mkuu damu yangu yenyewe ni ya blue...Chelsea fans here
Lee Empire & mkubhi
Man United fans here
Nyagei & Shunie
Wengine tuta-update tukijua position zenu.
Nilishapata....ila nafanya kama burudani tu ....just as leisureMkuu,
Ulishawahi kupata sh. Kwenye kubet?
Tatizo hilo la mifupa sababu ya urefu kupitiliza pia liliwahi kumkumba Yao Ming kwa miaka ya karibuni hadi kufikia Mchina huyo kustaafu mchezo huo.![]()
![]()
Ailikwa anasumbuliwa na ugonjwa wa mifupa marakwa mara 7bu ya urefu wake![]()
Hashimu andunje tu
....
.
1957 - Aliko Dangote anazaliwa huko Nigeria.
Ni mfanyabiashara na muasisi wa makampuni ya Dangote Group.
Anatajwa kama tajiri namba moja barani Afrika.
Sawa Mkuu wewe ni Mkuu wa Ferguson!!! @Shuleni nilikiwa naitwa chicharito!
Nadhani ushaelewa mimi ni mnazi wa OT..
Msoma nyakatiKama Mbowe![]()
Akifunguka BASHITE anaonyesha vyetiWakuu J3 si ishaingia...mbona ROMA hafunguki tu au bado wapo stationery wanaprint makaratasi
......
Unstoppable Lukaku