Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wana chembe chembe za uchocheziHahahahaa!
Pimbi vs kisheti..
Hahaa! Huwa mnanichekesha sana ninyi jamaa
Wana chembe chembe za uchocheziHahahahaa!
Pimbi vs kisheti..
Hahaa! Huwa mnanichekesha sana ninyi jamaa
Nimekuelewa vizuriBinadamu tunawapa watu heshima na tunawadharau kutoka na nafasi zao maishani mwetu
Leo hii magu angekuwa baba yako ingekuwa vigumu mno kutokumkubali..though inawezekana kutokubaliana nae..
Ila nafasi aliyonayo mtu kwako ndio determinant ya namna utakavyo mtreat..
Na ndio maana Jambazi akipigwa na kuuliwa na watu, bado wako watakao mlilia tuu ..
Ukiweza kuwa na roho safi na kumpa mtu kile anachostahili utakiwa shujaa..
Hiyo kazi anafanya mzee mkavuKwenda kupiga watu vi-pawpaw???
Goodmorning my dear...Amen.....be blessed too n have a wonderful weekMorning sir be blessed
MmmmhHuwezi jua mapenzi iko na nguvu sana
Kazi + love zimembana huku kapotea
Sisi ni watani wa jadi...Hahahahaa!
Pimbi vs kisheti..
Hahaa! Huwa mnanichekesha sana ninyi jamaa
HahahaHua unamchezeshea kichapo mama mchungaji?
Umeniwahi mkuu kwenye tafakari ya kirat ..mm apa sijampata kipanya kabisa![]()
Aliyeelewa afunguke
.....
Upo vzr upande wa kuchambua mpira.Asante mkuu sikuona update mapema
Epl mambo matamuuuu
Twende sawa wakuu ukiwaacha wale wawili wa juu waende zao..... Basi huku kwenye top four ni pagumu sana kujua nani anabaki na Nani anatoka maana 63, 61, 57 na 54 hizi ni nambari za alama mujarabu kabisa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Sunderland ni kama teyari keshakufa ila Bado anasubiriwa Bradley tu kupeleka maua mwisho wa Msimu..... Sijawahi kukata tamaa ila kwa namna wanavyojikongoja Msimu ujao hakutakuwa na EPL pale Stadium of light....... David Moyes the Choosen one naona survival black cat wanafia mikononi mwako mzee.
Pamoja na red card ila Bado Sunderland hakuwa na mawazo ya kumzuia Mourinho kwa ....
Sunderland 0-3 Manchester united
Leo sijui mzee wetu Wenger anamshusha jirani yake ??
Kama kumuua mhindi weekend hii najua braza mwekahazina ulifanya chaguo sio sahihi ...
Huwezi amini nafika kwa muhindi nikaweka Stoke aongoze kipindi kimoja tuAsante mkuu sikuona update mapema
Epl mambo matamuuuu
Twende sawa wakuu ukiwaacha wale wawili wa juu waende zao..... Basi huku kwenye top four ni pagumu sana kujua nani anabaki na Nani anatoka maana 63, 61, 57 na 54 hizi ni nambari za alama mujarabu kabisa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Sunderland ni kama teyari keshakufa ila Bado anasubiriwa Bradley tu kupeleka maua mwisho wa Msimu..... Sijawahi kukata tamaa ila kwa namna wanavyojikongoja Msimu ujao hakutakuwa na EPL pale Stadium of light....... David Moyes the Choosen one naona survival black cat wanafia mikononi mwako mzee.
Pamoja na red card ila Bado Sunderland hakuwa na mawazo ya kumzuia Mourinho kwa ....
Sunderland 0-3 Manchester united
Leo sijui mzee wetu Wenger anamshusha jirani yake ??
Kama kumuua mhindi weekend hii najua braza mwekahazina ulifanya chaguo sio sahihi ...
Mkuu balozi![]()
Aliyeelewa afunguke
.....
Niwekee picha ya hiyo boga , kwa kiswahili yaitwaje?![]()
Ebana sio handsome ila ni mboga za majani kanda fulani hapa tz

He like Crying woman.Hahaha
Umeanza uchochezi sasa
Naendelea vzr Mkuu... Naanza kuweka Sawa viatu vya mpilaMkuu,
Unaendelea vipi?