Weka vyote tu mkuuHahaaaa!
Pole ila ndo unajifunza hivyo...wala usiogope kuandika au kuongea broken english! Bado tunajifunza
Sasa mkuu unataka niweke No za simu ama?
Au niweke picha?
Manake naona leo mmeamka na mimi
Mbona wataka kutamka jina halisi!!!Morning jooh!
Naamini kuna mengi nyuma yake1972 - Rais wa Zanzibar Abeid Amani Karume anauwawa kwa kupigwa risasi 8 mwilini mwake alipokuwa anacheza bao makao makuu ya ASP huko Kisiwandui.
Risasi hizo nane alizopihwa ni sawa na miaka 8 ya utawala wake.
Inasemekana aliuwawa na Luteni Humoud ambaye ni kama alikuwa analipiza kisasi cha kuuwawa kwa baba yake.
Wapo wanaosema kuuwawa kwa Karume ni Jaribio lililoshindwa kupindua serikali yake hivyo wakaamua kumuua tu.
Pia wapo wanaosema kupishana kwake kauli na JK Nyerere kuligharimu uhai wake kwani aligoma kuhusu muundo wa Muungano ambapo alidiriki kusema Muungano ni kama koti likikubana unalivua, pia aligoma kabisa kuunganisha vyama vya ASP na TANU ili izaliwe CCM. Kauli hizo zinadaiwa kumchefua Nyerere.
Kipindi cha magod father Meesi na Cr7Ameng'aa kipindi kibaya
Kweli mkuu.Amina mama mchungaji..
Umoja ni kitu muhimu sana.
Kwenye biblia utakumbuka wana wa izrael na umoja wao..
Siku wanaingia nchi ya ahadi..( the land of milk and honey). Utakumbuka mji wa yeriko ulivyotwaliwa..( the fall of Jericho) Joshua; 6:1-
Walivyozunguka mji mara moja kwa umoja wao wakiongozwa na Joshua...
Hapa ndo utajua kwanini Taifa linatakiwa liwe na umoja..
Kwanini Tz tunatakiwa tuwe na umoja...!
Wananchi tungekuwa na umoja leo hii Tz isingikuwa inafanya blundering za ajabu hivi..
Anyway! Ngoja niishie hapa kwa leo.
Yes sasa naelewa shemKidogo unakielewa kiswahili
Nashukuru kusikia hivyoMie wa afya
1961 - Brigitte Van Der Burg anazaliwa jijini Tanga, Nchini Tanzania.
Ni mbunge katika Bunge la Nchi ya Uholanzi.
Umeonaeeh!!!Sio za nchi hii
Tena asithubutu kumwacha kwenye 18 zake!!!Ni kijana mbichi kabisaa
Sina nia mbaya shemHalafu wewe
Urudishe sifa nlizokupaga
Sio kwa watz!!!
Acha kabisa kwakweli Afya ni mtaji hatujui tuWaafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima au maslahi ya Taifa....
mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori na yule Makamu wa Rais Zenji japo kuongea tu kwao ni shida
...
Wamarekani bhana mabingwa wa mbinu pindi Plan A ikifeliMaji yalizidi unga wakaamua warudishe mpira kwa kipa.
Pamoja mkuuNiko poa le akili kubwa
Bora umeelewa tuu mkuu.Yes sasa naelewa shem
Walipaswa kumlinda zaidi akiwa hai,kama kiongozi nahisi kulikua na kujisahauHuo ulinzi wakati wa mazishi ya Mzee Karume si mchezo.