Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
ChiquititaNaupenda sana wimbo wao wa Chiquitica
ChiquititaNaupenda sana wimbo wao wa Chiquitica
Dooh!2009 - Rais wa zamani wa Peru Alberto Fujimori anahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela kwa makosa yake ya uhalifu dhidi ya Binadamu.
Ahsante kwa marekebishoChiquitita
In your Originality.Brooh!
Unanifahamu tayari kaka!
Kweli week zoote hizi bado tumekaa hapa makapuku bado hujapata kunifahamu?
Kwa kifupi basi na wengine wanifahamu..
Jina: Transcend M.
Jinsia: me
Age; 27
Kazi: mjasiria mali
Ndoa; uchumba na Sakayo
Bado nini tena mkuu?
Natumaini mmenifahamu sasa..!
Mkuu,2003 - Majeshi ya Marekani wanamkamata Kiongozi wa Iraq, Saddam Hussein na kuhitimisha Utawala wake nchini Iraq uliodumu kwa muda mrefu.
Saddam Hussein alikuwa ni mmoja ya viongozi wababe waliotikisa Dunia miaka ya 90.
Alinyongwa baada ya kupatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya Binadamu.
Hahahaa!In your Originality.
Hahaaaa am not sure kama hiyo ni miaka yako.
Am not sure kama hiyo ni kazi yako maana juzi tu ulisema likizo uliyopewa ya siku 40 imeisha.
Sawa lakini ulisema likizo uliyopewa imeisha.Hahahaa!
Ngoja niwe mkweli leo..! Am not 40 brooh!
Hiyo ndo miaka yangu sahihi..!
Pia, kuwa mjasiria mali haimaanishi huwezi kuwa na likizo ya shughuli zako..
Nakumbuka alisema ana 47 leo ana 27 naona kawa zaidi ya nyoka kuvua gambaIn your Originality.
Hahaaaa am not sure kama hiyo ni miaka yako.
Am not sure kama hiyo ni kazi yako maana juzi tu ulisema likizo uliyopewa ya siku 40 imeisha.

Hivi kuna muajiri anatoa likizo ya 40 days?Sawa lakini ulisema likizo uliyopewa imeisha.
Wacha tu tuamini hivyoHahahaa!
Ngoja niwe mkweli leo..! Am not 40 brooh!
Hiyo ndo miaka yangu sahihi..!
Pia, kuwa mjasiria mali haimaanishi huwezi kuwa na likizo ya shughuli zako..
Hahahaaaa!Nakumbuka alisema ana 47 leo ana 27 naona kawa zaidi ya nyoka kuvua gamba![]()
![]()
It Depend.Hivi kuna muajiri anatoa likizo ya 40 days?
Lets be logically..
Mbona baba mchungaji yupo muda huuHahahaaaa!
Nyagei hii ni week ya makapuku sio?
Lets be logically na wakweli mkuu..! Kweli kuna mzee wa 47 atakuwa yuko chitchat muda huu..

Hahahaaaa!Wacha tu tuamini hivyo
Le Mutuz.Hahahaaaa!
Nyagei hii ni week ya makapuku sio?
Lets be logically na wakweli mkuu..! Kweli kuna mzee wa 47 atakuwa yuko chitchat muda huu..
Hahaaaa!Habari zenu wakuu hope mko wazima..siku hizi mahudhurio yangu hafifu
It Depend.
Ila be alike bro why don't want to reveal to your friends while they do to you.
Aaahaaaa umenifanya hadi niandike English yangu broken.