Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Morning sirGoodmorning family
Morning sirGoodmorning family
Njia ya muongo ni fupi.....In your Originality.
Hahaaaa am not sure kama hiyo ni miaka yako.
Am not sure kama hiyo ni kazi yako maana juzi tu ulisema likizo uliyopewa ya siku 40 imeisha.
Hahahaaa!Bado tarehe ya kumbukumbu ya ndoa
R i P legeng...! Forever2012 - Steven Kanumba anafariki Dunia.
Ni muigizaji nguli na mashuhuri kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Mazingira ya kifo chake yamebaki ya kutatanisha mpaka leo.
Toka afariki, tasnia ya filamu imeyumba kwa kiasi kikubwa.
MmmmhHahahaa!
Ngoja niwe mkweli leo..! Am not 40 brooh!
Hiyo ndo miaka yangu sahihi..!
Pia, kuwa mjasiria mali haimaanishi huwezi kuwa na likizo ya shughuli zako..
Asante mkuu...ila ukijibu lile swali langu kuhusu vita ya Iraq itakuwa pouwa sanaLeo katika Historia:
Niwatakie siki njema.
Baby nini tena ?Mmmmh
Leo nimesema ukweli mtupuuuuuuu.Njia ya muongo ni fupi.....
Hapo kwa uchumba penyewe alikuwa anasita
Na mie nshashtuka shemNakumbuka alisema ana 47 leo ana 27 naona kawa zaidi ya nyoka kuvua gamba![]()
![]()
Asante sana mkuu Transcend ubarikiwe.NUKUU YA LEO
There is no time to waste. We must either unite now or perish.
Hakuna muda wa kupoteza, lazima tuungane ama tuangamie
Haya maneno yalipata kusemwa na Mwalim. Julius Kambarage Nyerere, muasisi na baba wa taifa la Tanzania.
Mwal. Jk nyerere ndio aliyeongoza vita ya kupigania uhuru wa Tanganyika na baadaye kuwa Tanzania.
Mwal. Atakumbukwa kwa mchango wake ktk kupigania uhuru wa nchi za Africa hasa nchi za kusini mwa jangwa la sahara..
Ukweli wake, kupenda haki, utu wake, na maadili yake yameendeea kuwa kama nembo ya utambulisho kwa Taifa la Tanzania.
Mwalimu amepokea zaidi ya tuzo 12 kwa mchango wake ktk mataifa mbalimbali, aliongoza tanzania kwa miaka 24 kabla ya kung'atuka madarakani tar 5/11/1985.
Mwal. Alifariki dunia tar. 14/10/1999 akiwa na miaka 77.
![]()
![]()
Umoja ni nguvu! Mwalimu alipenda tuungane ili tuwe na nguvu..
Umoja wetu ni mafanikio yetu..
Transcend.
In short, we unaamuaga kudanganya ummaHivi kuna muajiri anatoa likizo ya 40 days?
Lets be logically..
Inategemea na shughuli zakeHahahaaaa!
Nyagei hii ni week ya makapuku sio?
Lets be logically na wakweli mkuu..! Kweli kuna mzee wa 47 atakuwa yuko chitchat muda huu..
Usilazimishe sana huenda ni mvaa suti......Habari zenu wakuu hope mko wazima..siku hizi mahudhurio yangu hafifu
It Depend.
Ila be alike bro why don't want to reveal to your friends while they do to you.
Aaahaaaa umenifanya hadi niandike English yangu broken.
Mwanzo kabisa, ilikuwa ni ajenda ya silaha za maangamizi lakini walipokosa wakaamua kuja na ajenda ya uhaligu dhidi ya binadamu.Mkuu,
Mwanzao kabisa Mareakani na washirika wake waliingia kwa dhumuni la Silaha za maangamizi
Bado najiulizaga silaha za maangamizi ni nuclear missiles au kuna cha zaidi..?
Baada ya vita kuisha na Sadam kunyongwa hakukuwa silaha zozote?
Sasa agenda ya mwisho ya kumnyonga SH ni kuwa alifanya uhalifu wa bibadamu?
Kweli? Is this true..au walikuwa na black agenda?
So sad story,wapumzike kwa amani.1994 - Mauaji ya Kimbari Rwanda: Mauaji ya Watu wa Kabila la Tutsi yaanza kushika kasi jijini Kigali
Tayari mkuuAsante mkuu...ila ukijibu lile swali langu kuhusu vita ya Iraq itakuwa pouwa sana
HujamboHahaaaa!
Pole ila ndo unajifunza hivyo...wala usiogope kuandika au kuongea broken english! Bado tunajifunza
Sasa mkuu unataka niweke No za simu ama?
Au niweke picha?
Manake naona leo mmeamka na mimi