BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hahahahaanafurahisha ila, hajajua kama blessed ni she!
Hahahahaanafurahisha ila, hajajua kama blessed ni she!
Lee ubarikiwe sana asante kwa magazeti siku njemaKapitie magazeti
1968 - Fernando Hierro anazaliwa.
Beki wa zamani wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Hispania.
All the time God is goodAsante god is good...
Hahaha, keep your eyes openIla hii speed ni hatari 3k in 2days???
Anyway Emmy nakumis sanaa
Asantee mkuuLeo katika Historia:
Kwa udhamini wa Sizonje aka Pogba wa Chattle aka Kocha Mchezaji niwatakie siku njema.
![]()
![]()
mi mwenyewe nimempola bwana blessed aiiiseeh nilijivika ngozi ya simba we unafikir bila kuwa ngangali utatoboa mathalani jana alitupa mpaka
Comption nikaonekana kidume
Wacha malkia wangu aje approve kwa hili![]()
![]()
![]()

Morning Lee pole uwe mvumilivu najua leo hauko poa Mungu akupe utulivu ,Mungu ana majibu yote..ndie msemaji wa mwishoMorning mama mchungaji
1973 - Jerzy Dudek anazaliwa.
Kipa wa zamani wa Liverpool na Real Madrid na timu ya taifa ya Poland.
Shujaa wa Liverpool katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Ac Milan mwaka 2005 ambapo Walitwaa taji hilo.
Naendelea vizuri mwaya Mungu ni muaminifu kwa kweli, mpaka hapa nilipo ni neema tuMungu yu mwemq tupo salama pole unaendeleaje Mungu akuponye uwe na siku njemq ubarikiwe
Tuombe uzima tuKwa muono wangu
Asante kwa historia Mkuu Mussolin5ubarikiwe uwe na siku njemaLeo katika Historia:
Kwa udhamini wa Sizonje aka Pogba wa Chattle aka Kocha Mchezaji niwatakie siku njema.
1978 - Walter Samuel anazaliwa.
Beki wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan na timu ya taifa ya Argentina.
Moja kati ya mabeki kisiki katika zama zake hasa akiwa Inter Milan ya Jose Mourinho ambapo alitengeneza ukuta wa chuma yeye pamoja na Lucio.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Inter Milan mwaka 2010.
Morning too my husband!!!Morning family
Morning makapuku..
Morning my princess S...Hubby loves you...
Muwe na asubuhi murua
timeAsante mkuuAsante kwa historia Mkuu Mussolin5ubarikiwe uwe na siku njema
Pole dear, upone.Naendelea vizuri mwaya Mungu ni muaminifu kwa kweli, mpaka hapa nilipo ni neema tu
1983 - Mwanariadha Mo Farah anazaliwa.
Mzaliwa wa Mogadishu nchini Somalia lakini kwasasa amechukua uraia wa Uingereza.
Ameshinda medali kadhaa za dhahabu za Olimpiki.
AminaaaaaMorning Lee pole uwe mvumilivu najua leo hauko poa Mungu akupe utulivu ,Mungu ana majibu yote..ndie msemaji wa mwisho