Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafakari ya kipanya
ac4cdef8e37688d264456ff167c51cdf.jpg
 
Sitakuwa hewani kwa masaa kama sita hivi. Shunie akiamka jamani mnisalimie. She is always in my mind. Ngoja Lee atambe mpaka nitakaporudi.

Sikujua kama kufika Bujumbura ni kazi namna hii. Yaani hakuna direct flight. Hii imekaaje hii? Ningejua ni afadhali hata kama ningeshukia Bukoba au Koromije halafu nikanyage petroli. Shunie I am pissed. Pray for me baby. Nitakusemesha jioni. Let me go face the world!!!
1a8da93b04dad56cd086e3bdccfd2284.jpg
f578bf8d321af38c8ad09725a5cf2413.jpg
 
Miaka ya wapi na wewe? Sema tu nilishaacha michezo ya kitoto. Enzi zile sina breki saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Makapuku lakini raha sana. Yaani kule kwenye siasa kidogo tu mtu ushatukanwa. Mpaka juzi hapa nikapigwa ban mbili. Sasa hivi napaogopa kama ukoma. Nitapachungulia huko ishu ya Bashi.te ikitulia.

Asante Lee na Shunie kwa burudani tosha na ushirikiano wenu. Tuendeleeni kula huo ugali kwa pamoja...
9db83c7619cbe4c1df683ae55455496e.jpg
Hahaha ugali mboga siioni mkuu
 
Tuacheni utani
Mwarsbu kwa Yanga ni kaa la moto bora tungekomaa na Zanaco yasingetukuta hata......halafu najiuliza kwanini kila siku timu za Bongo zinamalizia ugenini dhidi ya Waarabu na timu za West Africa kila hatua wanazokutana maana kwa UEFA taratibu zinajulikana ila kwa CAF iwe raundi ya kwanza,pili, makundi mara karibu zote tunamalizia ugenini
Bora Hayatou kang'olewa
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom