Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuacheni utani
Mwarsbu kwa Yanga ni kaa la moto bora tungekomaa na Zanaco yasingetukuta hata......halafu najiuliza kwanini kila siku timu za Bongo zinamalizia ugenini dhidi ya Waarabu na timu za West Africa kila hatua wanazokutana maana kwa UEFA taratibu zinajulikana ila kwa CAF iwe raundi ya kwanza,pili, makundi mara karibu zote tunamalizia ugenini
Bora Hayatou kang'olewa
......
Kweli mkuu kazi ipo wanatuonea sana
 
Hatari tupu mkuu
 
Ila aliwasogeza usiku kinomaaa

Na yeye ana moyo make angelikuwa mwingine tungelitofautiana mapema na wenge zake

Ila kwenye mchujo usimsahau mchizi
Yah....hapanick ovyo maana ningekua mimi ningemute kimyakimya! Na raha ya jf ujiunge ukubwani maana ukijiunga mtoto ka nilivyojiunga mimi lazima upanic.....though sijutii kukua na jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom