Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Asante my dear, naamini hivyoPole dear, upone.
Asante my dear, naamini hivyoPole dear, upone.
Asante my dear, naamini hivyoPole dear, upone.
Bado tunahuzuni na NAPE NNAUYE subiri tukitulia kwanza.naona mnapumzika sasa si kwa zile speed za jana na juzi
nimepita page kama 4 hivi mpaka kuipata hii sredi
Wametuvuruga mpaka sijakusalimiaa mwana kamatBado tunahuzuni na NAPE NNAUYE subiri tukitulia kwanza.
Shunie kagoma mpaka kulaNape ananiuma jamanii....dah! Ila hakuna mwanzo usio na mwisho! Mungu ampiganie
R.I.P uwaziriBado tunahuzuni na NAPE NNAUYE subiri tukitulia kwanza.
Hahahaha,,,hana njaa labdaShunie kagoma mpaka kula
Njoo nikupoze roho kwinieNape ananiuma jamanii....dah! Ila hakuna mwanzo usio na mwisho! Mungu ampiganie
Life is not that much long to waste time on ..labda ndio sababuWATZ WA DAR NDIO MMESHINDWA KUANZISHA MAANDAMANO??
WE CAN'T TOLERATE THIS SH*IT FROM JPM
pole eh mtoto mzuriNape ananiuma jamanii....dah! Ila hakuna mwanzo usio na mwisho! Mungu ampiganie
Mungu wetu hashindwi.....ila waliomchagua huyu ngosha sijui walikua wanawaza niniShunie kagoma mpaka kula

Asante....jamani hamna mwenye ndugu Malawi au Zambia nikapumzike hukopole eh mtoto mzuri
kunywa hata maji basi

Yawezekana na wewe ulimchaguaMungu wetu hashindwi.....ila waliomchagua huyu ngosha sijui walikua wanawaza nini![]()
Njoo Uganda mamaAsante....jamani hamna mwenye ndugu Malawi au Zambia nikapumzike huko![]()