Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mmeamkaje humu ndani jamani, ni asubuhi nyingine tena iliyo njema tuliyopewa na Bwana.

Naamini wote mko salama!! Niwatakie tuu kila lenye kheri siku ya leo!!!

T na wewe uwe na asubuhi njema mume wangu!!!
Morning family

Morning makapuku..

Morning my princess S...Hubby loves you...

Muwe na asubuhi murua
 
Waziri wa katiba mpya na Mwakyembe ni waziri wa habari utamaduni na michezo.

Nimesikia Star tv
c2f59458c8150cc6ce2dd05be72ac75f.jpg

Stupid Sizonje
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom