Makapuku Forum

Makapuku Forum

32adf34e7cba6bad969948aef5fb87b1.jpg

Nilikuwaga na kadi ya UVCCM nilipewa chuo japo sijawahi kushiriki chochote sasa leo ktk pekuapekua ghetto nimeikuta imenitia tu hasira nimeamua kuichana
......
Dah watu mna mioyoo
 
Asante....jamani hamna mwenye ndugu Malawi au Zambia nikapumzike huko
Jan nilienda Malawi kwa baiskeli kutokea Kyela ni karibu tu ni mwendo wa kuelekea pale border kutokea Kyela mjini baada ya kuvuka Mto Kiwira...Wanyasa wamejazana Kyela border

Zambia pia sio mbali kutokea Mbeya maana nilienda kuzurira huko nilikuwepo Mwanjela....nahisi ww ni Mnyaki
...
 
Jan nilienda Malawi kwa baiskeli kutokea Kyela ni karibu tu ni mwendo wa kuelekea pale border baada ya kuvuka Mto Kiqira...Wanyasa wamejazana Kyela border

Zambia pia sio mbali kutokea Mbeya maana nilienda kuzurira huko mwezi Jan nilikuwepo Mwanjela....nahisi ww ni Mnyaki
...
ngoja nipige ukunga tu! Ntapambana hapahapa, mkimbia kwao mtumwa
 
Sema watz tuna mioyo ya kusamehe na kusahau....ngosha2019 akinipa ajira ntasahau yoote haya!!

Japo kijani sitaipenda daima
Sijawahi kuipenda CCM
Hiyo kadi nilipewa tu na Katibu wa UVCCM tawi la chuo sababu tulikuwa tunakaa gheto moja...hivyo km best yake niliamua kumpunguzia "mzigo"
......
 
Sijawahi kuipenda CCM
Hiyo kadi nilipewa tu na Katibu wa UVCCM tawi la chuo sababu tulikuwa tunakaa gheto moja...hivyo km best yake niliamua kumpunguzia "mzigo"
......
Bora.....sisi chuo walikua wanatudanganya eti ukiwa na kadi ukimaliza chuo unapangiwa kazi mjini, nikawaambia ntaenda kufundisha kijijini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom