Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wapendwa wangu Makapuku ni siku nyingine njema Baba yetu wa mbinguni amependezwa kutupa yatupasa kumshukuru,wako wengi waliotamani kuiona siku ya leo lakini hawajaweza kuiona kwa hali na afya Mungu alizotujalia Sifa Shukurani Heshima na Utukufu ni kwa Baba aliye juu,naomba Mungu atujalie Amani, Upendo na Mshikamano,tusifadhaishwe na jambo lolote,wale wenye changamoto Mungu aingilie kati atusaidie tupite salama ,wagonjwa Mungu awaponye,wenye kuuguza Mungu atusaidie kuwa na uvumilivu wa kimapendo katika kila pito siku iwe njema yenye Baraka tele Amen
 
Leo Katika Historia:

1919 - Dikteta Benitto Mussolini wa Italy anaanzisha harakati zake za Ufashisti huko katika Jiji la Milan.
ca64c1a57e2787b2be08efd1158763c6.jpg
b5b47d1d92e511f6adc818c5ed01eca4.jpg
f63488c95db2ab7a57a86819b3971f01.jpg
 
1978 - Walter Samuel anazaliwa.

Beki wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan na timu ya taifa ya Argentina.

Moja kati ya mabeki kisiki katika zama zake hasa akiwa Inter Milan ya Jose Mourinho ambapo alitengeneza ukuta wa chuma yeye pamoja na Lucio.

Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Inter Milan mwaka 2010.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom