VINASABAni neno la kiswahili likiwa na maana jina la kibaolojia la DNA yaani
Deoxyribonucleic acid
Vinasaba(DNA) ndio utambulisho mkubwa kwa viumbe hai.
Vinasaba vina umbo la heli mbili yaani double helix structure...kama inayoonekana hapo chini.
Hizo heli mbili zinaitwa polynucleotides na zinajengwa kwa monomers dogo dogo zinazoitwa nucleotides
Kila nucleotides zina nucleobases 4 ambazo ni cytosine -C, guanine -G , Adenine-A or Thymine-T
Hizo base huwa zinapair kwenye zile coil ulizoona hapo juu... A zinapair na T wakati G inapair na C . Lakini vile vile hizo DNA ina atoms za sukari(sugar) na atoms za phosphate..
Vinasaba ndio utambuzi mkubwa wa viumbe hai...
Kwa leo tuishie hapo! Ukiweza kukumbuka na Biology form 4 itakuwa murua...
Je wajua ingine hiyo hapo chini..
