Aiseee umenikumbusha miaka ya 96 nilipokua form 4 daah niliyakamua sana hayo mamboPamoja mkuu...
Paprika ulivurundaaaMwambie ampotezee numbisa aisee la sivyo humu hapatoshi
Yaaaani sijui kwanini sipendi mpira daah![]()
The referee who officiated PSG-Barca game has been demoted & will NEVER officiate a UCL match. (Marca)
Nauliza tu kuna mwenye swali....? Hoja ?
Hiyo maana yake nini?Ndio
Nooo tulikua vzr ila yy mwenyewe kaamua kunipotezea labda anko Q kafanya yakePaprika ulivurundaaa
Unapenda churaYaaaani sijui kwanini sipendi mpira daah
Unakosa vingi sanaYaaaani sijui kwanini sipendi mpira daah
Mbona alisema humu kisa na mkasa ...Nooo tulikua vzr ila yy mwenyewe kaamua kunipotezea labda anko Q kafanya yake

Nooo chura hazipandi kabisa kwanguUnapenda chura
Aisee mimi muvi tu napenda sanaUnakosa vingi sana
Kweli mkuuUnakosa vingi sana
Kumbe jimbo liko wazi ni muda muafaka huuPaprika ashamtemaaa kitambooooo
Labda alisema uongo mm sijui kisaMbona alisema humu kisa na mkasa ...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Walikuwa wanatengeneza sana sandwich nini?Je wajua?
Jimbo la Hawaii nchini marekani ndio linalozalisha zao la kahawa tuu nchi marekani..
Kabla ya Hawaii liliitwa Sandwich island.
Kachezea bahatiPaprika kampiga ban eti
Wew si utafute wengine mpaka hao wawili tuKumbe jimbo liko wazi ni muda muafaka huu
Ila anataka asiyependa michepukoKumbe jimbo liko wazi ni muda muafaka huu
Movie, football, musicNooo chura hazipandi kabisa kwangu
Aisee mimi muvi tu napenda sana
AlikubambaaLabda alisema uongo mm sijui kisa
Hapo ndio mwake full Ukapuku kwa kwenda mbeleOk that is our Motto.
No panic full maupendo