Makapuku Forum

Makapuku Forum

VINASABAni neno la kiswahili likiwa na maana jina la kibaolojia la DNA yaani Deoxyribonucleic acid

Vinasaba(DNA) ndio utambulisho mkubwa kwa viumbe hai.

Vinasaba vina umbo la heli mbili yaani double helix structure...kama inayoonekana hapo chini.
e1a21edac93ac3a88c0f11bb6aac45e0.jpg


8a4973cb1c12c513c6dcdb5f23f7c2f0.jpg


Hizo heli mbili zinaitwa polynucleotides na zinajengwa kwa monomers dogo dogo zinazoitwa nucleotides

Kila nucleotides zina nucleobases 4 ambazo ni cytosine -C, guanine -G , Adenine-A or Thymine-T

Hizo base huwa zinapair kwenye zile coil ulizoona hapo juu... A zinapair na T wakati G inapair na C . Lakini vile vile hizo DNA ina atoms za sukari(sugar) na atoms za phosphate..

Vinasaba ndio utambuzi mkubwa wa viumbe hai...


Kwa leo tuishie hapo! Ukiweza kukumbuka na Biology form 4 itakuwa murua...


Je wajua ingine hiyo hapo chini..

4b8226abe12c089f48025c269ec42319.jpg
Ahsante kwa darasa murua.

Hii ya je wajua ndio imeniacha hoi kabisa MUNGU FUNDI
 
0c61502c8c26064970dbcaacde19bb97.jpg


Naona wengi mnajifanya hamfatilii ligi kuu ya ile timu ya dunia wanavodai wengi lakin mm simo ...kilichotokea siku ile na mtu wao ndo kimewaponza make yawezekana furaha ilipitiliza ...

Jana alichokifanya Depertivo ni kumfundisha mfaransa nidhamu ya ukabaji na mipango ya kushambulia kwa kushtukiza tu.....
Depotivo walikuwa wengiiiiiiiii wakati wanazuia ila pia walikuwa wengiiiiiiiii wakati wanashambulia kitu ambacho kiliwanyima uhuru sana Barcelona.

Wanachokikosa Fc Barcelona sasa ni ile miguu ya kuchukua Kijiji na kuamua matokeo ya Leonel Mesi tu.... Ila ile ya kupiga pasi ipo pale pale....
6c0b3efc8064c8f38ebb73915166b8ae.jpg

Walikosa pia huduma ya mchezaji huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom