BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante sana Lee kwa magazeti uwe na wakati mwema ubarikiweTuwe na mwanzo mzuri wa wiki wapendwa
Asante sana Lee kwa magazeti uwe na wakati mwema ubarikiweTuwe na mwanzo mzuri wa wiki wapendwa
Uwe na wakati mwema Mkuu Nyagei ubarikiweAmen lee empire nimekupata mujarabu kabisa
Ubarikiwe karibuHabari zenu wakuu i hope mko poa sana. Lee thanx kwa mambo yako, nyangei kwa kunikaribisha, numbisa, shunie
Shikamoo mama mlezi..Asante sana Lee kwa magazeti uwe na wakati mwema ubarikiwe
Kwani Bitoz ana Ban?Rafiki yangu naogopa kumtaja atakula ban ni mchangiaji hodari humu humu makapuk
Sio bitozKwani Bitoz ana Ban?
Jibu analo shunieMmh atakua mondray tu
Hahaaaaa! Dogo langu kala ban? Pole yakeSio bitoz
Jibu analo shunie
NzulihMorning wakùu ...tunaianza wiki nyingine Mungu atuongoze
Tukapitie yaliyojiri![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hey chali angu niajeHahaaaaa! Dogo langu kala ban? Pole yake
Mkuu mbona naku pm inakataa tatizo nnSio bitoz
Jibu analo shunie
mashemela na mwezi inahusu nn bado una lengo lako tu la kumtafutia lee mbebeMweezi eeeh?
Nishaelewa maana ya wewe kumiss mashemela sasa...
Hahaaaaa! Dogo langu kala ban? Pole yake
au niongeze iwe miwiliJamaaaaaaan kuwa na hurumaaa
Nimeifunga sitaki wagen kuleMkuu mbona naku pm inakataa tatizo nn
Wew acha kupiga watu biti! Ongeza mtu ale kona..au niongeze iwe miwili
Khaaaaaaa hata mm mgeni hunitak utakua unanionea sana naomba unufungulie tafadhariNimeifunga sitaki wagen kule
hahhahah huyu atakua kapewa life ban halaf alikua anaililiaga sana ban achana na ban bwana uione tu kwa wenzio kama umeizoea jf yaan simpi pole mpk thread alifungua afanye nn ili apewe ban halaf kumbe watu wanabadilika mpk miandiko hahhahah anaonekana mpoleSio bitoz
Jibu analo shunie
hahahahahh halaf ww utanihalibia baby nakuona tu ukinyimwa unakujaga kulia liaWew acha kupiga watu biti! Ongeza mtu ale kona..
Dooh! Sijawahi kupata ban...hivi ukipata bani unakuwa informed..?hahhahah huyu atakua kapewa life ban halaf alikua anaililiaga sana ban achana na ban bwana uione tu kwa wenzio kama umeizoea jf yaan simpi pole mpk thread alifungua afanye nn ili apewe ban halaf kumbe watu wanabadilika mpk miandiko hahhahah anaonekana mpole
hahhahah huyu atakua kapewa life ban halaf alikua anaililiaga sana ban achana na ban bwana uione tu kwa wenzio kama umeizoea jf yaan simpi pole mpk thread alifungua afanye nn ili apewe ban halaf kumbe watu wanabadilika mpk miandiko hahhahah anaonekana mpole