Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Unahitajika huku mkuuTafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Unahitajika huku mkuuTafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Katibu mipango uje huku kuna mtoto katoroka kwa wachafu anataka kuleta proposal ya video za comedy humu ndaniKatibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Mweka hazina Tafadhali sana njoo huku kuna Makapuku tunataka kuchangia Serengeti boysmweka hazina nipo
Sana sana Sizzya007Moyo wangu unafarijika.....
Salute kwa founder members wote
President Bitoz (BishopTembo)
Vice Pr. Jimena
Prime minister Th name
Nahrene
Cute B
Ibra 87
EMMYGUY
Karibu sana kwa chama kubwa jf TEAM MAKAPUKU.
Sure!! Sisi kilio chetu kikuu ni hiki, kama tumeamua JF iwe ni social network ya watu wote basi each member should be treated with dignity and equality. Tabia ya mtu akichangia kitu unakimbilia kwenye profile yake kuangalia ana muda gani jf na ana likes ngapi pamoja na followers afu unarudi kumpa maneno ya kejeri ni upuuzi inaobidi ufe.
Ila kama haiwezekani tutaenda hivi hivi kibishibishi....JF sio ya watu flani tu, ni ya watanzania, ni ya wakenya, waganda, warwanda na wowote wale kutoka popote pale. Mambo ya segregation inayotokana na umaarufu wa mtu tunayakataa
Ni kweli kabisa aisee
Mtu ukitoa mchango kumchallenge mkongwe utasikia vimaneno vya kejeri kama "mtu mwenyewe umejiunga feb 2016" au "senior member".....kama mtu kajiunga feb 2016 hana haki ya kuchangia?!😱 au senior member hana haki ya kuchangia😱
japokuwa mimi sio mkongwe ni wa juzi juzi ..dah ili jina hapana aisee ..mimi sio kapuku
Mkuu BITOZ na SIZZYA007 tunaombeni mtafute kajina kengine kazuri mfanye substitution kwa ilo jina kapuku
Tusipojikubali hawa wakongwe watatuona sisi ni small organism
Lakini ngoma ikivuma vuvuvuuuuuu ujue imekaribia kupasuka..hatuna nyota ya punda sisi hapa hapa bongo tutatoka tuu
Makapukuu hoyeeeeeee
Asantee mkuuJe wajua?
Kitu cha televisheni cha MTV (music Television) kilianza rasmi kazi siku ya 1/8/1981
Kwa kurusha video ya kwanza kabisa ya video killed the radio star wimbo wa The Buggles.
Tukutane panapo majaliwa...!
Mmmmmmh wewe mgeni una mamboAiseee Transcend kaniwahi nilitaka namm nianzishe hiyo makala...
Unachokitafuta utakipataa...mondray punguza virobaaaaNimevutiwa na hili grupu naomba adimin aniruhusu Nianze kurusha videoz za vichekesho.
Pia nianzishe makala yangu pendwa ya
JE WAJUA??
nazifanya sana wasapu.nimempenda huyu binti SHUNIE
Pamoja sana. Usijali nduguUpite na huku mkuu!
Wee muache ajitoe ufahamu ...![]()
![]()
![]()
Lee anakuona
Acha hizo kijana watu wapo huru kusepa maana hakuna sheria wala kanuni inayombana mtu kila siku wanaingia wapya ni km safari ya dhaladala anashuka mtu anapanda mtu ndio maana thread haifiHata mimi nashangaaa watu walio anzisha uzi huu wote hawapo labda Bitoz tu. Tuliomo humu active hatuzidi kumi. BTW
Tutaendelea kulisongesha
MondrayHata mimi nashangaaa watu walio anzisha uzi huu wote hawapo labda Bitoz tu. Tuliomo humu active hatuzidi kumi. BTW
Tutaendelea kulisongesha
SalamaSalama humu wakuu?
Hadi ifike 150k zen itafuata 200kHakuna updates sasa kwanini?
Mtoto wa mabibo
Pamojaaa sana Baba mchungajiiAhsante lee.....ahsante na magazeti Papaa
Ahaaaaaah nimekosa cha kusema na mmnawe tena una-quote migazeti mingi hivyo
![]()
![]()