Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Oooh! Umegusa kitu...sema sasa hawapo huku kwa kapukuz![]()
![]()
![]()
![]()
Tunahimizwa tupendane lakini hawajawahi kumchagua Kadinali mweusi kuwa Papa
....
Oooh! Umegusa kitu...sema sasa hawapo huku kwa kapukuz![]()
![]()
![]()
![]()
Tunahimizwa tupendane lakini hawajawahi kumchagua Kadinali mweusi kuwa Papa
....
Sawa le dictatorPitia hapa useme chochote au uweke japo like.
Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI
Hicho tuu shem! Na kingine ...ni pale lee atapokuja na kuona yale maneno..kwahyo kinachokufurahisha mm kupendwa na huyo dogo
Dogo ni kwikwi yule sasa! Jana katia kamba...dakika ya 7 tuu !Wasalimu sana kwa niaba ya kijana wetu Samatta.
Nawaza TZ itafikia lini uwezo huo1988 - The Seikan Tunnel yafunguliwa huko Japan.
Ni njia ndefu zaidi Duniani ya chini ya Bahari yenye urefu wa Km 23 ambayo inaunganisha visiwa vya Aomori na Hakodate kwa reli.
hahahhah huyo dogo pole yakeHicho tuu shem! Na kingine ...ni pale lee atapokuja na kuona yale maneno..
shukran mussolin na kwako piaLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, niwatakie wiki njema.
Nawakumbuka kwa kutuachia watoto wengi kule Dodoma![]()
![]()
![]()
Wajapan wapo vizuri sekta ya uhandisi si unaikumbuka KONOIKE
....
Nafikiri ni jina tu kama ilivyo kwenye magari![]()
![]()
![]()
Mbona na baiskeli ziliitwa phoenix au jina tu
....
Na wala hajawahi kutokea nabii au mtume mweusi![]()
![]()
![]()
![]()
Tunahimizwa tupendane lakini hawajawahi kumchagua Kadinali mweusi kuwa Papa
....
1946 - Yonathan Netanyahu anazaliwa.
Ni kaka wa Waziri Mkuu wa sasa Israel Benjamin Netanyahu.
Alikuwa ni Kanali katika Jeshi la Ulinzi la Israel.
Alifariki katika uwanja wa kivita katika Operesheni Entebbe ndani ya Entebbe nchini Uganda, ambapo Wanajeshi wa Israel walienda kuokoa mateka Waliotekwa na Wapalestina na kugichwa Entebbe.
Hatari sana, yule msimu ukiisha asije bongo abaki huko huko azidi kujinoa huku watampiga misumari maana hawa players wa kibongo Mungu tu ndio anajuaDogo ni kwikwi yule sasa! Jana katia kamba...dakika ya 7 tuu !
Nilikuwa naona tu kwenye movie zao- Leo ni Siku ya kitaifa ya Mnyama Tembo nchini Thailand.
Obrigado Mussolin5LEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, niwatakie wiki njema.
1989 - Holger Badstuber anazaliwa.
Beki wa kati wa Bayern Munich aliyepo kwa mkopo Schakle 04 ambaye pia hucheza timu ya taifa ya Ujerumani.
Ni beki wa kati mwenye kipaji cha hali ya juu sana ila tatizo sugu la Majeruhi limemfanya ashindwe kuonesha uwezo wake.
Wewe ni mondray ???HL 999 the cause