Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,292
Teyari
Ila wewe bibie daah
Vipi allow basi pm please
Ila wewe bibie daah
Vipi allow basi pm please
Thankyuuuuuu numbisaTeyari
Nawaza tu ..videos waachie whatsapp huku story na kuelimishana mwanzo mwisho kama una kipaji unakaribishwa upewe sekta yakoKwann mkuu
Huweziiii ...nitaweza si nitakua na hasira ya kufungwa
Mimi nina kipaji cha kuweka makala kwenye magropu fb na wasapu sijui mtaniruhusu...na niweke makala yapiNawaza tu ..videos waachie whatsapp huku story na kuelimishana mwanzo mwisho kama una kipaji unakaribishwa upewe sekta yako
asanteDaah basi ww karembo aise nimekupenda
anakuchosha huyu n mondrayNawaza tu ..videos waachie whatsapp huku story na kuelimishana mwanzo mwisho kama una kipaji unakaribishwa upewe sekta yako
Leo katika Historia:
1897 - Chuo Kikuu cha San Diego chaanzishwa.
1988 - The Seikan Tunnel yafunguliwa huko Japan.
Ni njia ndefu zaidi Duniani ya chini ya Bahari yenye urefu wa Km 23 ambayo inaunganisha visiwa vya Aomori na Hakodate kwa reli.
Hivi mondray ndio nani etiiianakuchosha huyu n mondray
Ahsante sana mama mchungaji Blessed HopeUwe na wakati mwema Mkuu Nyagei ubarikiwe
Morning mkuu, familia haijambo?Karibu makapuku!
Morning all
Hawajambo mkuu..Morning mkuu, familia haijambo?
Ninahisi nguvu kailekeza kwenye EUROPA kama alivyosema EUROPA ndio kipaumbele kwa sasaWtf! Foward yote wagonjwa? Wamelogwa ama?
Kwema mkuu?