Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
huyo bashite utakua umemfananisha hahahhhahNa inasemekana kuna kiresort fulan hivi anakipendeleaa kupata mojaaa baridiiii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huyo bashite utakua umemfananisha hahahhhahNa inasemekana kuna kiresort fulan hivi anakipendeleaa kupata mojaaa baridiiii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu makapuku!Habari zenu wakuu i hope mko poa sana. Lee thanx kwa mambo yako, nyangei kwa kunikaribisha, numbisa, shunie
Tutakupigiaaa haya majamaaa ...
Shunie tafadhar usinifanyie ya clkey

Wewe unamiss mashemeji hadi unaumwa?ww na mukongo buana kwahyo mm kummiss shemela wangu mna mashaka baby wangu mwenyewe hana was was


kwa lee nakufwaa kabisaWewe unamiss mashemeji hadi unaumwa?
Sasa kwa lee unakufa ama?
n nan au rayyoungry sijui kaja na id nyingine na mwandiko tofaut
Mmh atakua mondray tuRafiki yangu naogopa kumtaja atakula ban ni mchangiaji hodari humu humu makapuk
Swali mubasharaaaaaaWewe unamiss mashemeji hadi unaumwa?
Sasa kwa lee unakufa ama?
Mkuu hii week hakuna tamuuTutakupigiaaa haya majamaaa ...
Shunie tafadhar usinifanyie ya clkey


Mmmmmmmhkwa lee nakufwaa kabisa
nimeshajibuSwali mubasharaaaaaa
Akinijibu nitag
Ahaaaaaaah wewe atalala chumba cha wageniMkuu hii week hakuna tamuu
Ole wako mtufunge..!
sio week mwezi mzimaMkuu hii week hakuna tamuu
Ole wako mtufunge..!
jibu ndio hiloMmmmmmmh
Eeerh! Moyo sukuma damu
Ila kuwa na wanawake wanaopenda mpira saa zingine ni tabu kweli...Ahaaaaaaah wewe atalala chumba cha wageni


Jamaaaaaaan kuwa na hurumaaasio week mwezi mzima
Mweezi eeeh?sio week mwezi mzima
Ila kuwa na wanawake wanaopenda mpira saa zingine ni tabu kweli...
Yaani huku Clkey anaomba tufungwe ili anipe! Tukishinda sipewi
Mtu mwenye game ya leo haimuhusu kihivyo.
