BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Tuko poa karibuOyaaaa mko poa hapa
Tuko poa karibuOyaaaa mko poa hapa
Jana tumekumiss sana mama mchungaji ,ila matumain yetu uko salamaHahahahaaaa Leee
Karibu sanaAsante mkuu
Karibu sanqHabari za asubuhi wanafamilia wenzangu. Natumaini mpo poa kabisa, hatimae leo nimefufuka tena.
Karibu tupoMakapuku
Hatari![]()
Acheni kuvuta sigara
HahahaJE WAJUA??
Kundi la bundi linaitwa parliament
I seeJE WAJUA??
Mtoto wa kangaroo anapozaliwa anakua mdogo kiasi anaweza kuenea kwenye kijiko cha chai
Wengi tutapata kansa Mungu atuepushe kulala.Na simu mchagoniJE WAJUA??
Kulala na simu chini ya mto kunasababisha kansa ya ubongo
AsanteATTENTION
Usipokee simu yako kama chaji ipo chini ya asilimia kumi. Kwani mionzi inakua mikali mara 1000
PoaMambo
Hili la mswaki hatariJE WAJUA??
Mao Zedong hakuwahi kupiga mswaki maisha yake yote.
Albert Einstein hakuwahi kuvaa soksi maisha yake yote
Morning mkuuMorning kapukuz
Tuko poa mkuuHope mko poa