BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe LeeTuwe na weekend njemaa wakuu
Ubarikiwe LeeTuwe na weekend njemaa wakuu
Hahaaaa Kirat ananiacha hoiKirat kwenye ubora wake...![]()
Hiii be BlessedMorning morning guys
Njema Mkuu Better late than NEVER unaendeleaje?pole ubarikiweHabar za asubuhi wandugu
HoyeeeeeeMakapuku hoyeee
Hahahahaaaa mbio zakooMorning baba mchungaji
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sifa shukurani utukufu kwa Mungu wetuYeah leo nipo vzr bro sijui ww
Hahahahaaaa LeeeApooo guuuud ...Sara za mama mchumba![]()
![]()
zimefika
Yaani Mugabe ameweka historia1980 - Mpigania Uhuru, Robert Mugabe anashinda uchaguzi nchini Zimbabwe na kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mweusi nchini humo. Baadae akaja kuwa Rais mpaka leo.
The rest is history.
NjemaHabari zenu humu
Nyimbo nzuri sana1932 - Miriam Makeba anazaliwa.
Alikuwa mwanamuziki mahiri toka nchini Afrika ya Kusini. Alifahamika kama Mama Afrika.
Baadhi ya vibao vyake ni Malaika, Patapata nk.
Hahahahaaaa WerasonItabidi niende kutembea Chicago na mama Mchungaji
Hahahahaaa QuigleyNenda na mkeo
DuuuhhhWote walipata zero, ni jamii ya Bashite
Ubarikiwe mkuuLeo katika Historia:
Sina la ziada kutoka katika makabrasha yangu.
Jumamosi kama ilivyoada ni Sabato, niwatakie Sabato njema na Wikend njema eote.
Umeona eeh wakiandika vizuri tunapata mashakakuna doctor mdada nilikutana nae alikua anaremba mwandiko ikabidi nikapime sehemu nyingine... Sikuamini kabisa kua anaweza kua doctor