Makapuku Forum

Makapuku Forum

a80b07afa1c75595b63079dd77a17af7.jpg
2dd4cc96efb799c482f416317bff1a18.jpg




ac8312101fb2bac2c6d1173e91149173.jpg
4d0abf6f83bcf61d9fcb817d4bacfffa.jpg
Ila wanaumebwanalia machozi mengiiii compared to wanawake hapo
 
Yaani Nimeenda Kuchota maji bombani nikakuta wamama kibao wamejazana bombani na ndoo zao kibao Alaf mimi nina haraka zangu

Ikabidi nitumie plan....Nikawaambia Kuna Ng'ombe Amegongwa gari pale barabarani kina mama wenzenu wanagawana nyama
Wote Wakatoka mbio kuelekea huko barabaran sasa badala mimi nichote maji cha ajabu eti na mimi nikakimbia kuwafata maana jinsi walivyokimbia mpaka na mimi nikazani Kuna Nyama Kweli

SASA HII NI BANGI AU???
Ha ha haa
 
Leo katika Historia:

1933 - Chama cha NAZI cha Adolf Hitler chashinda uchaguzi mkuu kwa 43.9% na kuunda serikali nchini Ujerumani.

Serikali hiyo chini ya Kansela Adolf Hitler ilikuja kuea serikali ya kibabe na mkono wa chuma. ( Serikali ya Kidikteta ).
 
1990 - Danny Drinkwater anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Man Utd, ambaye kwasasa anakipiga Leicester City na timu ya taifa ya Uingereza.

Ametwaa taji la Ligi kuu Uingereza mwaka 2016 akiwa na Leicester City chini ya Jemedari Caludio Ranieri " The tinkerman "
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom