JE WAJUA ?
[emoji179]chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
[emoji179]kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
[emoji179]chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
[emoji179]kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
[emoji179]km umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
[emoji179]kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
[emoji179]ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
[emoji179]Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
[emoji179]big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
[emoji179]kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge