Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako
Umeongeza chumvi ili ufanikiwe mradi wako...hilo la couple sio lazima bali ni matokeo tu.
Cc paprika
 
Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako
Mfano tafadhari ??? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Usiniambie nimekosea??? Anataka kunionea mgeni au? Nipe mkanda wake
Paprika wala usiofu ....iko muntu moko inaitwaga mukongo pappa muntu ya pesa kwanza lazima akuandalie juis ya kapuku alafu shululu atakuhudumia unachokitaka humu wengine wapambe .....

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Ila msikilize
 
Aisee, kumbe coke zero na frem zero wapo humu wote!!!
How lovely!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nataka nijiite frem Bashite sifahamu namna ya kubadilisha jina
1e1e4a8fb581c313c215d62d9e02c5c2.jpg
 
Paprika wala usiofu ....iko muntu moko inaitwaga mukongo pappa muntu ya pesa kwanza lazima akuandalie juis ya kapuku alafu shululu atakuhudumia unachokitaka humu wengine wapambe .....

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Ila msikilize
Nilidhan unanitimulia vumbi, ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom