Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante mkuuuNitajitahid mkuu
Asante mkuuuNitajitahid mkuu
Shukrani kwako piaAsante mkuuu
JE WAJUA??
Mtoto wa kangaroo anapozaliwa anakua mdogo kiasi anaweza kuenea kwenye kijiko cha chai
JE WAJUA??
Kulala na simu chini ya mto kunasababisha kansa ya ubongo
JE WAJUA??
Picha yenye like nyingi Facebook ni picha aliyopost VIN DISEL akiwa na PAUL WALKER baada ya kifo cha paul walker. Ina likes 8. 1million
JE WAJUA??
Anord Schwarzenegger alilipwa Dollar 21, 429 kwa kila neno alilo sema kwenye filamu ya Terminator2
Pamojaa mkuu maupendo ndo jadi yetuLee MUNGU akujalie hela ya kununua bando kila siku
aiseeATTENTION
Usipokee simu yako kama chaji ipo chini ya asilimia kumi. Kwani mionzi inakua mikali mara 1000
acha niache hii ndio tabia yanguJE WAJUA??
Kulala na simu chini ya mto kunasababisha kansa ya ubongo
nilikua sijui hiiJE WAJUA??
Mtoto wa kangaroo anapozaliwa anakua mdogo kiasi anaweza kuenea kwenye kijiko cha chai
JE WAJUA??
Mao Zedong hakuwahi kupiga mswaki maisha yake yote.
Albert Einstein hakuwahi kuvaa soksi maisha yake yote
Ameen Mungu atamjaaliaLee MUNGU akujalie hela ya kununua bando kila siku
Mmh hatari ninavyoyapenda mmJE WAJUA??
Kunywa maji ya baridi kunasababisha ugonjwa wa Shambulio la moyo
JE WAJUA??
Kunywa maji ya baridi kunasababisha ugonjwa wa Shambulio la moyo