Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Just ukumbusho wake tuKwa nini?
Just ukumbusho wake tuKwa nini?
Hauko peke yako mkuuJE WAJUA??
HENRY MICHEL ndio mtu wa kwanza kugundua mtihani.
.... Nitamchukia daima huyo mtu aisee
Hahaaa karibu kapuku ujifunze mengikuna doctor mdada nilikutana nae alikua anaremba mwandiko ikabidi nikapime sehemu nyingine... Sikuamini kabisa kua anaweza kua doctor
Mama mchumba auMama mchungajii![]()
![]()
![]()
![]()
Mondray malizia
DuuuhJE WAJUA??
Kama Bill Gate akiacha kufanya shughuli zake zote na kuanza kutumia hela zake kwa siku milioni 10, itamchukua miaka 735 kuzimaliza pesa zake zote.
Paprika, nimejiskia raha kukuona humuHauko peke yako mkuu
Mimi sizipendi tu!!! Hapo nyuma movies za mazombie zilitapakaa sana! Ko naona kama marudio tu. Ata sielewi wanachokipendea humoWatakua wanapata sana pesa vujana wanapenda sana hizi picha..mimi naziogopa kama hofu ya neno refuuuuu
Na kweli afafanueFafanua kidogo himaya ipi
Hivi kauli mbiu ya fursa 2014 ilikua inasemaje mkuuPaprika, nimejiskia raha kukuona humu
Uliipenda hilo nenoNdioooooo...........![]()
![]()
![]()
![]()
ShemelaaaaaaaaOyaaaa mko poa hapa
Wazima kabisaOyaaaa mko poa hapa
Nambie shemela wanguuuuShemelaaaaaaaa
NikumbusheHivi kauli mbiu ya fursa 2014 ilikua inasemaje mkuu
Uko poa shemela....bashiiiiteee yulee mzimaa ???Nambie shemela wanguuuu
Mie cjambo shemela,bashite nlishampiga chini kitamboUko poa shemela....bashiiiiteee yulee mzimaa ???
Na wewe .....huwez fanya hivoMie cjambo shemela,bashite nlishampiga chini kitambo