Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Kamata fursa twende zetu. Kalia kutoa macho tuNikumbushe
Mambo!![]()
![]()
huamini
Asante mkuuPaprika, nimejiskia raha kukuona humu
MorningMorning morning guys
Poa mambo yako mzee wa 338Mambo!
Huyo anachokitaka nakijuaNipe mwongozo!!!
Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wakoNipe mwongozo!!!
Tumekumis shemela wetuHabari za asubuhi wanafamilia wenzangu. Natumaini mpo poa kabisa, hatimae leo nimefufuka tena.
Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wakoNipe mwongozo!!!
Sawa mama wa 009Poa mambo yako mzee wa 338
Nimewamiss pia, sema tu majukum yalizidi mnoo.Tumekumis shemela wetu
Asante na karibu sanaHapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako
Lee tafadhari usinihusishe humo kwenye story... Damnnn!!!! Frem kaja mida mibovuTumekumis shemela wetu
Nilijuuuuuaaaaa tuuuuu .....Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako