Makapuku Forum

Makapuku Forum

kushangilia arsenal inataka moyo sana

Kushangilia Arsenal ni sawa na kubeba zigo la misumari kichwani halafu umenyoa kipara utalitupa tu
8bbeb242acd14cf9d98fb2236bfd57c6.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?

DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa palepale!

MVULANA: Sio kweli!! Lazima kulikua na mtu mwengine pembeni aliyempiga risasi Simba.

DAKTARI: Nashukuru umeelewa somo!!
Mmmhhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom