Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Nenda na mkeoItabidi niende kutembea Chicago na mama Mchungaji
Nenda na mkeoItabidi niende kutembea Chicago na mama Mchungaji
Jogoo la africa.Comrade Mugabe![]()
Lakini yenye zero sio!Sio zero ni coke zero
1986 - Mike Krieger anazaliwa.
Ni mfanyabiashara wa Kibrazil.
Ni mmoja kati ya waanzilishi wa mtandao pendwa wa Instagram.
mtoto wa juzi kawapiga kanzu wakongwe!!!

Wote walipata zero, ni jamii ya BashiteFrem zero na Coke zero hua mnaundugu
Unazeimaaa???Nenda na mkeo

Hapana mkuuFrem zero na Coke zero hua mnaundugu
Nasikia wanasema yeye ni zero.Lakini yenye zero sio!
Nakukaribisha kwenye himaya yangu, ukiwa na mm hautajutaHapana mkuu
Kama kawa, ila kwasasa nimemaliza.Mussolin5 naona umekalia usukani
Fafanua kidogo himaya ipiNakukaribisha kwenye himaya yangu, ukiwa na mm hautajuta
Wat!!!!!!Unazeimaaa???![]()
Rais wa Maisha.Comrade Mugabe![]()
Jana nilipo sema nimesisimuka mwili mzima kuna mtu alininangaHuyu anakaliaga, acha kukremu alaa