Poa bwana ZeroHabari zenu humu
Njema, za wewe?Habar za asubuhi wandugu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Morning baba mchungaji
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji134]Apooo guuuud ...Sara za mama mchumba [emoji4] [emoji4] [emoji4] zimefika
Ameshikilia usukani hajakalia usukani mkuuMussolin5 naona umekalia usukani
Sio zero ni coke zeroPoa bwana Zero
Itabidi niende kutembea Chicago na mama MchungajiLeo katika Historia:
1837 - Jiji la Chicago laanzishwa huko Marekani.
Ni Jiji la tatu kwa wingi wa watu Nchini humo.
Ni jiji lenye highway nyingi zaidi ndani ya Nchi hiyo.
Pia Jiji hilo lina Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa O'Hare ndio uwanja wa pili Duniani kwa kuhudumia wasafiri wengi na kuwa na ndege nyingi zainazotua hapo kila baada ya muda.
Kuna Vyuo vikuu maarufu vinavyopatika Jijini humo kama University of Chicago na University of Illnois.
Comrade Mugabe[emoji3]1980 - Mpigania Uhuru, Robert Mugabe anashinda uchaguzi nchini Zimbabwe na kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mweusi nchini humo. Baadae akaja kuwa Rais mpaka leo.
The rest is history.
Frem zero na Coke zero hua mnaunduguHabari zenu humu
[emoji3]Poa bwana Zero
[emoji3]Sio zero ni coke zero
Huyu anakaliaga, acha kukremu alaaAmeshikilia usukani hajakalia usukani mkuu