Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kirat kwenye ubora wake...
630b6c7a1bc4a7730574dc92a92d5d6c.jpg
Kirat siku si nyingi Polisi watafanya upekuzi kwake.
 
Leo katika Historia:

1837 - Jiji la Chicago laanzishwa huko Marekani.

Ni Jiji la tatu kwa wingi wa watu Nchini humo.

Ni jiji lenye highway nyingi zaidi ndani ya Nchi hiyo.

Pia Jiji hilo lina Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa O'Hare ndio uwanja wa pili Duniani kwa kuhudumia wasafiri wengi na kuwa na ndege nyingi zainazotua hapo kila baada ya muda.

Kuna Vyuo vikuu maarufu vinavyopatika Jijini humo kama University of Chicago na University of Illnois.
 
2009 - Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ( ICC ) yatoa hati kukamatwa kwa Rais wa Sudan Omar al Bashir kwa makosa yake ya Uhalifu dhidi ya Binadamu huko katika jimbo la Darfur.

Hati hiyo inamfanya Rais Bashir kuwa Rais wa kwanza aliyepo madarakani kutafutwa na Mahakama hiyo toka kuanzishwa kwake.

Lakini mpaka leo miaka 8 baadae, Omar Al Bashir hajakamatwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom