Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Mkienda naomba mfike hadi Illinois.Itabidi niende kutembea Chicago na mama Mchungaji
Mkienda naomba mfike hadi Illinois.Itabidi niende kutembea Chicago na mama Mchungaji
Eti anaitwa nani vile!Mkuuu ndo huyo mama mchungaji
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
I thought so ndio maana wanajiita Bashite frem na cokeWote walipata zero, ni jamii ya Bashite
Kwasasa ni Bilionea bila shaka.[emoji134] mtoto wa juzi kawapiga kanzu wakongwe!!![emoji125] [emoji125] [emoji100]
Kwanza hujajitambulisha, jitambulishe members tukufaham then upewe utaratibuFafanua kidogo himaya ipi
Merci papaaKama kawa, ila kwasasa nimemaliza.
Jana sio leo kijanaJana nilipo sema nimesisimuka mwili mzima kuna mtu alininanga
Sawa mkuuJana sio leo kijana
Sikujua kama kuna utambulishoKwanza hujajitambulisha, jitambulishe members tukufaham then upewe utaratibu
Usimsumbue mgeni mpe kiti chai then mtaongea mengineKwanza hujajitambulisha, jitambulishe members tukufaham then upewe utaratibu
Zero uwe na amani, hapa hatudai vyeti, uwe huru kuchangia, kufurahi na wenzioSikujua kama kuna utambulisho
Mimi ni mgeni humu najulikana kama Coke Zero
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa mkuu
Mama mchungajii[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Eti anaitwa nani vile!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]JE WAJUA??
Neno SWAG ni neno lililoanza kutumiwa miaka ya 60 wanaume mashoga likiwa linamaanisha Secretly We Are Gays
DuuhJE WAJUA??
BLUCE LEE alikua faster sana kwahiyo wakawa wanampeleka slow motion ili mapigo yake yaweze kuonekana vizuri
Kwa nini?JE WAJUA??
Jicho la Albert Einstein limehifadiwa jijini New york
Karibu mgeni mwenyeji aponeSikujua kama kuna utambulisho
Mimi ni mgeni humu najulikana kama Coke Zero
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zero uwe na amani, hapa hatudai vyeti, uwe huru kuchangia, kufurahi na wenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna doctor mdada nilikutana nae alikua anaremba mwandiko ikabidi nikapime sehemu nyingine... Sikuamini kabisa kua anaweza kua doctorGo buy that.. Whaaaaaat are you kidding me.
Doctors bwana