Makapuku Forum

Makapuku Forum

8.Sir Hiram Stevens Maxim;mgunduzi wa "AUTOMATIC GUN" 1895.


220px-Maxim_portrait.jpg
Huyu aliigundua hii kumtega mgoni wake.. Mkewe alikuwa anachepuka mzee akisafri mbali.. Anaitega kidume kikiingia tu bunduki inafyatuka automatikalii..

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fix za tycoon makaveli jr.
 
Umejishtukia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Hamna cha kujistukia wala nini, umejaa maneno ya shombo af watu huwa wanakuchora tu, sema wanakupotezea for the sake of otherz!!! Jifunze kuishi na watu, kuwaheshimu n.k

Watu kukaa kimya sio uwaone mabwege.

Me nimemaind coz hamna mtu awaye yeyote anaweza kuisukuma hii thread alone!!!
 
Back
Top Bottom