shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Pole sana jirani yangu, hata husemi tuje kukuonaMambo toz? uniwie radhi naanzaje kwenda vingongo forum[emoji46]....Makapuku is more than a family aisee! nilikuwa naumwa umwa kidogo ila nimerudi tena kama kawa.