Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1955 - Jorge Valdano anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Argentina.
Pia kwa sasa ni kocha.
1955 - Jorge Valdano anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Argentina.
Pia kwa sasa ni kocha.
Asante sana mwenyekiti kwa historiaLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane keshi.
1976 - Mauro Camoranesi anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Italy.
Alikuwepo kikosini wakati Italy inashinda ubingwa wa Dunia mwaka 2006 pale Ujerumani.
Licha ya kuchezea timu ya taifa ya Italy, Camoranesi ni mzaliwa wa nchini Argentina.
Sorry kwa kukurudisha nyuma.. Hiv kwanin hizi ujeruman zilitengana!!? Na zilitengana mwaka ganj!? Kama kuna vinyama nyama jazilizia hapo, sie tuliokimbia history darasan tuna shkda kweli..1990 - Ni siku ya Muungano nchini Ujerumani.
Ambapo Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi zamaliza tofautu zao na kuungana upya na kuwa Nchi moja.
Kabla ya hapo nchi hizo zilitenganishwa na Ukuta wa Berlin.

Geographical reasonKimbunga na tetemeko ni kama makazi yake yapo Haiti
Njema kabisaSafi tu, vip hali ndugu yangu..
Sasa mkuu umegeuza?Jamani nashukuru kwa meseji zenu za faraja mlizonitumia, tulizika salama jana jioni.
Ni Msweden?Mtata sana Julian
Innaillaj wainalillah rajuun..Jamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Asante sana kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane keshi.