Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaah! Huko viwanja wanauza bei rahisi sana..
Mama yangu alinunua heka 5 hapo 2011 na ametugawanyishia wanawe wote.
Mashamba yapo tu hayana kazi.

Nilikuwa nafikiri kuja kulima hapo ila sijajua ni kilimo gani kitalipa ktk mazingira hayo.

Ngoja mkuu nkufwate Pm ili unisaidie hilo jambo kidogo
Lima matikiti ndugu

.......
 
Km vipi tumshauri ufugaji wa vyura

......
Mkulima wa ikwiriri analima matikitiki maji, biashara yake anaamua dalali wa k,koo

Ni wakati wa serikali kumlinda mkulima

Azam anazalisha juisi kwenye viwanda vyake, wamwambie tu anunue matunda kwa wakulima na sheria zimbane haswa, utaona jinsi watu watakavyolima, lakini kwa kupitia dalali hata mimi siwezi kulima
 
Naskia Tikiti imeliza watu sana miezi hii ya June na kuendelea
 
Mkulima wa ikwiriri analima matikitiki maji, biashara yake anaamua dalali wa k,koo

Ni wakati wa serikali kumlinda mkulima

Azam anazalisha juisi kwenye viwanda vyake, wamwambie tu anunue matunda kwa wakulima na sheria zimbane haswa, utaona jinsi watu watakavyolima, lakini kwa kupitia dalali hata mimi siwezi kulima
Ndo maana wakulima maskini hadi wanatia huruma...mi bora nilime mazao ya chakula tu
Wafanyabiashara/walanguzi/middlemen ndo wanafaidi jasho la mkulima
.........
 
IMG_20161004_161219.jpeg
IMG_20161004_161207.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom