Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kuuliza sio ujingaUpambe nux huo shem
Kuuliza sio ujingaUpambe nux huo shem
Yeah na nimefurahi sanaThnk u shemela.. Nimekuletea mdogo wako umemuona!!?
Uongeze kula matundaNimepita karibu na mapapai, nimeangukiwa na moja kichwani ila halikupasuka japo limeiva sana ina maana gani hii wakuu
Transformer, Huu ugunduzi nao ulitisha sana, hasa kwenye primary na secondary6.Michael Faraday;Mgunduzi wa "Dynamo & Transformer" na mkemia wa kukumbukwa.
![]()
6.Michael Faraday;Mgunduzi wa "Dynamo & Transformer" na mkemia wa kukumbukwa.
![]()
Haya sawa founderHasa km umesoma sayansi
Ndo inavyotakiwa wkt wa mada jadili mada siyo stori
........
Si useme tu kama kweli au sio kweli?Afadhali umeliona hilo
Una nondo sana The Book4.Galileo Galilei;mwanafikia,mwanahisabati,mwanaanga n.k,aligundua 'thermometer na telescope'
![]()
Wote kitu kimojaHaya sawa founder
Faraday amefariki akiwa mdogo sana ,ila tunamkumbuka sana upande wa fizikia R.I.P Faraday6.Michael Faraday;Mgunduzi wa "Dynamo & Transformer" na mkemia wa kukumbukwa.
![]()
Kitabu yupo nondo saanaKitabu anamavitu sana
Alinusa nusa harufu yakekwaa mbaliiii
Hivi ndivyo inavyotakiwa ,sio kama wale vingongo masinichiWote kitu kimoja
Tunaelekezana kiungwana
Lengo letu iwe thread ya kijanja sio km ile DUSTBIN FORUM ya Vingongo
![]()
![]()
![]()
........
Ukisoma umeme kwenye physics lazima umkute huyu..6.Michael Faraday;Mgunduzi wa "Dynamo & Transformer" na mkemia wa kukumbukwa.
![]()
Miaka 70 si habaFaraday amefariki akiwa mdogo sana ,ila tunamkumbuka sana upande wa fizikia R.I.P Faraday
Naona alikuwa anafurahisha baraza tu, anapenda maneno yangu shemej yanguAnkali sijui kimemsibu nini
Anasadifu jina ake kweli yeye ni kitabu toshaUna nondo sana The Book
Big up
Haya shemela.. Ila swal hili lina uchembe chembe wa uchimbajiKuuliza sio ujinga
Ahsante kitabu huyu jamaa nilimsaka sana hatimae nimempata KF7.Zacharias Janssen;mgunduzi wa "hadubini"(microscope),ila kuna wanaosema kuwa iligunduliwa na baba yake na sio yeye(imeandikwa Wikipedia).aligundua kati ya mwaka 1590-1595.
![]()