Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Poa sana mkuu mambo vip?Aje mzee kigli!!
Poa sana mkuu mambo vip?Aje mzee kigli!!
Iko njema kabisa, vip wenzao hukoVip hali yako n familia kiujumla!?
View attachment 411801View attachment 411802View attachment 411803
Kwa hisani ya wikileaks sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti.
Naitwa Jimena Jimenes nawatakia siku njema
Adios

Sawa 2pac MafujoHhmm.. Mimi hapana kwa kweli, hawaniwez ng'o niko fiti.. Hata mama watoto nae hawawez kumteka namlinda 24:7... Pilika pilika tu zilikamata kasi si unajua tena..
Bitoz, mambo vp, hebu fanya oganizesheni kuhusu huyu ndg hata tumshike mkono kiaina. Najua waweza sema neno jema...najua wanielewaSasa mkuu umegeuza?
Tuko pamoja
...........
ThanksHave a nice day jj
Yoyote anaweza toa wazo au kuanzisha ishuBitoz, mambo vp, hebu fanya oganizesheni kuhusu huyu ndg hata tumshike mkono kiaina. Najua waweza sema neno jema...najua wanielewa
Poleni sanaJamani nashukuru kwa meseji zenu za faraja mlizonitumia, tulizika salama jana jioni.
Pamoja sana UncleAsante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ
Kama atatoa ushiriano hata huko faragha anayeguswa akimjia ampe mawasiliano amshike mkono wa pole, sisi ni family ni vyema tukapanua wigo wa uhusiano japo hapa jukwaani hatuwezi kujiweka wazi kimawasiliano.Yoyote anaweza toa wazo au kuanzisha ishu
Mi nina mpango km muda ukiruhusu akirudi Joto City nitamtafuta nionane nae
................
Wazo zur bitoz, kama angekuwa anarudi leo nami ninge mchekiYoyote anaweza toa wazo au kuanzisha ishu
Mi nina mpango km muda ukiruhusu akirudi Joto City nitamtafuta nionane nae
................
Hapana sioNimeuliza tu
Shemla..... Wapi pacha??Mchina wa italia huyu!!!
Binafsi sijawahi onana naeWazo zur bitoz, kama angekuwa anarudi leo nami ninge mcheki
Pacha yuko bize hapa ananitunza kakake, kwn hatujaonana mda u knowShemla..... Wapi pacha??
Pacha yuko bize hapa ananitunza kakake, kwn hatujaonana mda u know
ametishaaLete kaifa kiongoziNjema kabisa
Safi sana na huo ndio urafiki wa kweliYoyote anaweza toa wazo au kuanzisha ishu
Mi nina mpango km muda ukiruhusu akirudi Joto City nitamtafuta nionane nae
................