Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
makapuku wenzangu
Calm down kakaHamna cha kujistukia wala nini, umejaa maneno ya shombo af watu huwa wanakuchora tu, sema wanakupotezea for the sake of otherz!!! Jifunze kuishi na watu, kuwaheshimu n.k
Watu kukaa kimya sio uwaone mabwege.
Me nimemaind coz hamna mtu awaye yeyote anaweza kuisukuma hii thread alone!!!
Povu hiliHamna cha kujistukia wala nini, umejaa maneno ya shombo af watu huwa wanakuchora tu, sema wanakupotezea for the sake of otherz!!! Jifunze kuishi na watu, kuwaheshimu n.k
Watu kukaa kimya sio uwaone mabwege.
Me nimemaind coz hamna mtu awaye yeyote anaweza kuisukuma hii thread alone!!!

Nina maanisha kwa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ardhi;Imekaaje hiyo, hebu tupe maana Habari nyingine hatunazo
Sema kapuku mwenzentumakapuku wenzangu
Yaah! Huko viwanja wanauza bei rahisi sana..Nina maanisha kwa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ardhi;
Kununua shamba kwa malengo ya kufanya kilimo na ufugaji, kuja kuuza baadae, au kununua viwanja vya kujenga.
Huku wenyeji bado hawajashtuka sana, watu wakuja ndo wanachangamkia fursa sana

Unataka kulima au ufugaji?Imekaaje hiyo, hebu tupe maana Habari nyingine hatunazo
Sehemu gani ninyi shamba lenu lipoYaah! Huko viwanja wanauza bei rahisi sana..
Mama yangu alinunua heka 5 hapo 2011 na ametugawanyishia wanawe wote.
Mashamba yapo tu hayana kazi.
Nilikuwa nafikiri kuja kulima hapo ila sijajua ni kilimo gani kitalipa ktk mazingira hayo.
Ngoja mkuu nkufwate Pm ili unisaidie hilo jambo kidogo![]()
![]()
KaribiaYaah! Huko viwanja wanauza bei rahisi sana..
Mama yangu alinunua heka 5 hapo 2011 na ametugawanyishia wanawe wote.
Mashamba yapo tu hayana kazi.
Nilikuwa nafikiri kuja kulima hapo ila sijajua ni kilimo gani kitalipa ktk mazingira hayo.
Ngoja mkuu nkufwate Pm ili unisaidie hilo jambo kidogo![]()
![]()
Siasa bhana!!! Siasa zimewafarakanisha!Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisalimiana na babake mzazi, Amos Kaguta huko Rwakitura muda mfupi baada ya vikosi vya NRA kuliteka jiji la Kampala 1986. Aliyevaa magwanda ya kijeshi kulia ni mhandisi Winnie Byanyima, ambaye ni mke wa Col.Kiiza Besigye.
View attachment 411849
Pole bibieMambo toz? uniwie radhi naanzaje kwenda vingongo forum....Makapuku is more than a family aisee! nilikuwa naumwa umwa kidogo ila nimerudi tena kama kawa.

Lipo mlandiziSehemu gani ninyi shamba lenu lipo
Nmeshakutext tayariKaribia
NimeonaNmeshakutext tayari
NimekujibuNmeshakutext tayari
Ina maana una tatizo la constipationNimepita karibu na mapapai, nimeangukiwa na moja kichwani ila halikupasuka japo limeiva sana ina maana gani hii wakuu
Siasa haina adabu..Siasa bhana!!! Siasa zimewafarakanisha!
Sikuwa seriousHamna cha kujistukia wala nini, umejaa maneno ya shombo af watu huwa wanakuchora tu, sema wanakupotezea for the sake of otherz!!! Jifunze kuishi na watu, kuwaheshimu n.k
Watu kukaa kimya sio uwaone mabwege.
Me nimemaind coz hamna mtu awaye yeyote anaweza kuisukuma hii thread alone!!!
Si mnajua mitazamo tofauti nliliandika "viazi vilikuwa vingi" kiutani maana humu wote tunajuana utani wetu hata mimi mfano naambiwa bwege,mkata viuno n.kPovu hili
Ila kuwa mpole blood!